KANUNI ZA UONGOZI. d nnnnnnnnnnn.

Size: px
Start display at page:

Download "KANUNI ZA UONGOZI. d nnnnnnnnnnn."

Transcription

1 MAADILI KANUNI ZA UONGOZI YA KITAIFA NA d nnnnnnnnnnn

2

3 KUHUSU KIPPRA Maadili ya Kitaifa na Kanuni za Uongozi T aasisi ya Kenya ya Utafiti na Uchanganuzi wa Sera za Umma (KIPPRA) ni Shirika la Serikali linalosimamiwa na Wizara ya Fedha na Mipango ya Kitaifa. Lengo la KIPPRA ni kuendeleza uwezo wa kutunga, kutekeleza na kutathmini sera katika Serikali za Kaunti na Kitaifa; kufanya utafiti na uchanganuzi wa sera kwa wakati unaotakikana; kutumika kama sehemu ya mawasiliano na majadiliano kuhusu sera za umma; na kutunga na kudumisha hifadhi ya sera za umma ili kuchangia katika mafanikio ya malengo ya maendeleo ya kitaifa. KIPPRA imethibitishwa na ISO 9001:2015. Tumejitolea kutimiza mahitaji ya wateja na mahitaji ya kanuni na sheria husika. Tunahakikisha kuboresha huduma na bidhaa zetu, na kutimiza mahitaji ya wateja. Kijitabu hiki kimechapishwa ili kuendeleza majukumu ya KIPPRA ya kuhamasisha umma na kuendeleza uwezo wa kuelewa na kukubali Maadili ya Kitaifa na Kanuni za Uongozi Kwa maelezo zaidi, wasiliana na Kenya Institute for Public Policy Research and Analysis Bishops Garden Towers, Bishops Road, 2nd Floor Box , Nairobi Simu: ; Barua pepe: admin@kippra.or.ke Twitter: 1

4 Maadili ya Kitaifa na Kanuni za Uongozi UFAFANUZI WA DHANA Maadili Maadili ni imani na dhana za kudumu za mtu binafsi au kundi la jamii. Hutangamanisha jamii; kufafanua mambo muhimu na yanayofaa; na kutoa mwelekeo kuhusu wema na uovu. Maadili ya Kitaifa Maadili ya kitaifa ni imani ya kitaifa inayoongoza mitazamo, matendo na tabia za wananchi wa taifa hilo. Kanuni za Uongozi Hizi ni kanuni maalum ambazo zinashinikiza taifa litekeleze majukumu yake kwa njia ambayo inanufaisha wananchi kwa jumla. Rais Mwai Kibaki anaweka saini kwenye Katiba mpya ya Kenya iwe sheria th Ijumaa 27 Agosti 2010 katika Bustani ya Uhuru 2

5 Maadili ya Kitaifa na Kanuni Uongozi VIFUNGU VYA SHERIA KUHUSU MAADILI YA KITAIFA Utangulizi Kwa kutambua matamanio ya Wakenya wote katika serikali inayozingatia maadili ya msingi ya haki za binadamu, usawa, uhuru, demokrasia, haki katika jamii na uongozi wa kisheria: Kifungu cha 4(2) Jamhuri ya Kenya itakuwa Taifa linalofuata demokrasia ya vyama vingi vinavyobuniwa kwa misingi ya maadili ya kitaifa na kanuni za uongozi zinazorejelewa katika Kifungu cha 10. Kifungu cha 132(1)(c) Kinabaini kuwa Rais, mara moja kila mwaka, atatoa ripoti kupitia hotuba kwa taifa, kuhusu hatua zote zinazochukuliwa na serikali na mafanikio yanayopatikana katika utekelezaji wa maadili ya kitaifa, yanayorejelewa katika kifungu cha 10. Raisi pia anatakiwa kuchapisha katika Gazeti la Kenya maelezo ya ripoti hii. Kifungu cha 174 Kinaelezea kanuni na vipengee vya serikali za ugatuzi. Kifungu cha 232(1) Kinabaini umma. maadili na kanuni za huduma kwa za 3

6 Maadili Kanuni za Uongozi na ya Kitaifa 4 Kifungu 234(2)(h) cha Kinataka umma. kwa huduma katika zinafuatwa 232 na 10 vifungu vya katika zinazorejelewa kanuni maadili na ambacho kiwango kuhusu Bunge na Raisi kwa kuripoti na itathmini Umma kwa Huduma ya Kamati Kifungu 249(1)(b) cha demokrasia ya na maadili kanuni vinafuata Taifa vya vyote vikundi jinsi kuchunguza vinalenga:-(b) huru ofisi na tume vya Vipengee. Maadili cha 10} {Kifungu za Uongozi Kitaifa na Kanuni ya Kifungu 10(1) cha Maadili hawa: ya kati yeyote ambapo hali katika wote watu na umma wa wafanyakazi serikali, wa maafisa kitaifa, ya yote makundi hushinikiza za Uongozi Kanuni na Kitaifa ya (a) Katiba; kufasili au anatumia (b) au yoyote; sheria kufasili au kurejelea anatekeleza, (c) ya umma. sera ya maamuzi kutekeleza au anatoa Kanuni (2)} 10 cha {Kifungu Kitaifa ya Maadili na Kifungu Uongozi: za zifuatazo Kanuni na Kitaifa ya Maadili kinaangazia 10(2) cha (a) Watu; kwa Kushiriki Demokrasia, Kisheria, wa Utawala Mamlaka, wa Ugavi na Ugatuzi Kitaifa, Uzalendo, Umoja wa

7 (b) Hadhi ya Binadamu, Usawa, Haki katika Jamii, Ujumuishaji, Ulinganifu, Haki za Kibinadamu, Kutobagua, Ulinzi wa Waliotengwa; (c) (c) Uongozi Bora, Uadilifu, Uwazi, Uwajibikaji; na Maadili ya Kitaifa na Kanuni za Uongozi (d) Maendeleo ya Kudumu. Kikao cha bunge 5

8 Maadili ya Kitaifa na Kanuni za Uongozi 1. UZALENDO Uzalendo unarejelea upendo, uaminifu na kujitolea katika nchi yako. Mkenya mzalendo anapenda nchi yake kwa mfano, kwa kulipa kodi, kulinda rasilimali za kitaifa na kujitahidi ili kuboresha Kenya. Tunapaswa kujivunia nchi ya Kenya na kuilinda. Wanariadha wa Kenya: Fahari ya Kenya kwa miaka mingi 6

9 Maadili ya Kitaifa na Kanuni za Uongozi 2. UMOJA WA KITAIFA Ni hali ya utangamano inayotokana na maadili, maono, majukumu na matamanio ya pamoja bila kujali tofauti za kikabila, kitamaduni, kiuchumi, kidini au hali yoyote ile huku tukiheshimu uanuwai. Ni uamuzi wa kufanya kazi pamoja ili kusuluhisha changamoto zinazotukumba kama nchi. Kenya Moja, Kundi Moja, Hatima moja. Viongozi kadhaa katika staftahi ya Maombi ya Kitaifa 7

10 Maadili ya Kitaifa na Kanuni za Uongozi 3. UGATUZI NA UGAVI WA MAMLAKA Ugatuzi na Ugavi wa Mamlaka ni mazingira ya uongozi ambapo mamlaka, siasa, uchumi na rasilimali za jamii zinasambazwa kati ya serikali za kaunti na serikali kuu. Huwawezesha watu mashinani wafanye uamuzi kuhusu mambo yanayowaathiri. Mheshimiwa Rais Uhuru Kenyatta akiwa na Baraza la Magavana katika mkutano uliopita 8

11 4. UTAWALA WA SHERIA Maadili ya Kitaifa na Kanuni za Uongozi Inarejelea dhana ya kisheria ambapo kila mwananchi na mtu anayeishi nchini anapaswa kuheshimu na kufuata sheria. Ni sharti sote tutii sheria ili kubuni jamii bora 9

12 Maadili ya Kitaifa na Kanuni za Uongozi 5. DEMOKRASIA NA USHIRIKA WA WATU Demokrasia ni dhana ya kisheria ambapo wananchi wote wanashiriki moja kwa moja na kwa njia sawa katika kutekeleza masuala ya nchi yao. Ushirika ni hatua inayohusisha watu wote kutoa uamuzi ambao unajumuisha heshima pande zote na unahimiza uwajibikaji wa pamoja. Wananchi wanapiga foleni ili kuwachagua viongozi 10

13 NMaadili ya Kitaifa na Kanuni za Uongozi 6. HADHI YA BINADAMU Hadhi ya binadamu inamaanisha: heshima ambayo watu hupewa, na kuendeleza haki za watu binafsi jinsi inavyobanishwa katika katiba na Mswada wa Haki bila kujali hali ya mtu yeyote (Kifungu cha 28). Kliniki tamba ya mpango wa Mobile Zero 11

14 Maadili ya Kitaifa na Kanuni za Uongozi 7. USAWA Maana ya usawa ni: usawa katika haki, kutobagua, haki; na usambazaj i wa nafasi na rasilimali za kitaifa kwa njia sawa bila kuzingatia jinsia, ulemavu, umri, mbari, kabila, dini au hadhi. Ulinganifu Usawa 12

15 Maadili ya Kitaifa na Kanuni za Uongozi 8. HAKI KATIKA JAMII Inamaanisha utekelezaji wa haki ambazo zinaendeleza hali bora ya mtu binafsi katika hali zote za jinsi anavyoshirikiana na wengine na kuendeleza utangamano. Inamaanisha: haki katika utoaji wa huduma, usambazaji wa mali, nafasi na fursa katika jamii kutoka kwa Serikali. Huduma Bora Ni Haki Yako. Wakaazi wa Mombasa wanasubiri kupata huduma katika Huduma Centre 13

16 Maadili ya Kitaifa na Kanuni za Uongozi 9. UJUMUISHAJI Ujumuishaji inamaanisha kuwapa watu wote fursa ya kushiriki katika shughuli kama vile kufanya uamuzi ambao unaathiri maisha yao. Wananchi wanashiriki katika mijadala ya kufanya uamuzi 14

17 Maadili ya Kitaifa na Kanuni za Uongozi 10. ULINGANIFU Inamaanisha kuwahudumia watu kwa njia sawa bila kuzingatia hali kama vile jinsia, dini, tabaka, kabila au mbari. Pia inarejelea kuchukuliwa katika hali sawa katika masuala yote ikujumuisha haki za watu na makundi ya watu. W ahusika katika mijadala ya kitaifa ya usawa na jinsia 15

18 Maadili ya Kitaifa na Kanuni za Uongozi 11. HAKI ZA BINADAMU Haki za binadamu zinarejelea sifa za kipekee ambazo watu wamepewa na Mungu na kuendeleza haki zao jinsi zinavyorejelewa katika Katiba. Zinajumuisha: Haki ya kuishi, uhuru wa kujieleza, haki ya kupata afya bora, nyumba, haki ya kupata chakula, ustawi wa jamii, elimu, haki ya kujiendeleza na kujikuza. 16

19 Maadili ya Kitaifa na Kanuni za Uongozi 12. KUTOBAGUA Kutobagua kunamaanisha kutoa huduma na kuwahudumia watu wote bila mapendeleo. Fundi wa simu ya mkononi akimhudumia mtu mwenye ulemavu 17

20 Maadili ya Kitaifa na Kanuni za Uongozi 13. KULINDA KUNDI LINALOTELEKEZWA Hali ya kulinda makundi yanayotelekezwa inamaanisha kulinda masilahi ya watu ambao wana changamoto au wale ambao hawawezi kujitetea katika jamii. Sheria ya Uadilifu na Utangamano wa Kitaifa Kifungu cha 12 cha 2008 kinachukulia ubaguzi wa makundi yanayotelekezwa kuwa ukiukaji wa sheria. Fedha za Kufidia Maeneo Yanayotelekezwa (Kifungu cha 204), YEF, Uwezo Funds, AGPO ni mojawapo ya mipango maalum nchini Kenya inayoshughulikia hali hii. Wanafunzi wanasomea chini ya mti 18

21 Maadili ya Kitaifa na Kanuni za Uongozi 14. UONGOZI BORA Unamaanisha kuwa na mifumo na miundo ambapo mamlaka na uwezo unaweza kudhibitiwa au kuwajibikia matukio mahususi. Pia unarejelea usimamizi bora wa taasisi na rasilimali unaofanywa na watu waliopewa mamlaka ya kuzisimamia. KUSIKILIZANA KUWAJIBIKA KUJUMUISHA UONGOZI BORA UWAZI KUFUATA UTAWALA WA SHERIA KUJALI BORA NA UNAOFAA USAWA NA UNAOJUMUISHA 19

22 National Values & Principals of Governance 15. UADILIFU Uadilifu unamaanisha kutii kanuni za maadili. Hizi zinajumuisha uaminifu, ukweli, uhakika na matendo ya kiuadilifu katika shughuli za faragha na umma. Pia inamaanisha hali ya kuwa makini na mwangalifu kuhusu mambo mema. 20

23 Maadili ya Kitaifa na Kanuni za Uongozi 16. UWAZI NA UWAJIBIKAJI Uwazi unamaanisha hali ya kushiriki habari na matendo katika hali dhahiri. Uwajibikaji unamaanisha kuwajibikia matendo, hulka na usimamizi wa rasilimali. 21

24 Maadili ya Kitaifa na Kanuni za Uongozi 17.MAENDELEO YA KUDUMU Maendelea ya kudumu yanamaanisha mtindo wa utumiaji wa rasilimali ambao unatimiza mahitaji ya msingi bila kutelekeza uwezo wa vizazi vijavyo wa kutimiza mahitaji yao. 22

25 Maadili ya Kitaifa na Kanuni za Uongozi TAMATI Uendelezaji wa maadili ya kitaifa na kanuni za uongozi utasababisha mabadiliko ya kisiasa, kiuchumi, kitamaduni na kijamii ambayo yanalenga hatua ya kutimiza malengo yaliyo kwenye Taswira ya Kenya ya

26 Maadili ya Kitaifa na Kanuni za Uongozi 24

27

28

ENERGY AND WATER UTILITIES REGULATORY AUTHORITY (EWURA)

ENERGY AND WATER UTILITIES REGULATORY AUTHORITY (EWURA) ENERGY AND WATER UTILITIES REGULATORY AUTHORITY (EWURA) In the matter of an Application by the BABATI URBAN WATER SUPPLY AND SEWERAGE AUTHORITY ( BAWASA ) For a Tariff Application, Submited on 22 nd May

More information

Sauti Yangu Isikilizwe! Kuwasaidia watu wenye ulemavu wa akili kushiriki katika masuala ya kijamii na harakati za kisiasa.

Sauti Yangu Isikilizwe! Kuwasaidia watu wenye ulemavu wa akili kushiriki katika masuala ya kijamii na harakati za kisiasa. Sauti Yangu Isikilizwe! Kuwasaidia watu wenye ulemavu wa akili kushiriki katika masuala ya kijamii na harakati za kisiasa. Warsha kwa ajili ya Watetezi Binafsi (Watu Wenye Ulemavu wa Akili) na Familia

More information

Welcome Karibuni. By Moses Kulaba, Agenda Participation Tanzania Corruption Tracking System /

Welcome Karibuni. By Moses Kulaba, Agenda Participation Tanzania Corruption Tracking System  / Welcome Karibuni UTAWALA BORA NA UWAJIBIKAJI -TANZANIA: USHIRIKI WA WANANCHI KUIMARISHA USIMAMIZI WA RASILIMALI ZA UMMA NA WABUNGE- PARLIAMENTARY OVERSIGHT By Moses Kulaba, Agenda Participation 2000- Tanzania

More information

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA MAKAMU WA RAIS JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA MAKAMU WA RAIS HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA MAKAMU WA RAIS, WAKATI WA KUWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA 2015/16 Mhe.

More information

6.0 Hitimisho JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA. Ifahamu Sekta ya Biashara. TOLEO Na. 1, Desemba, 2012

6.0 Hitimisho JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA. Ifahamu Sekta ya Biashara. TOLEO Na. 1, Desemba, 2012 6.0 Hitimisho Wafanyabiashara wanahamasishwa kutumia fursa zitokanazo na Mikataba mbali mbali ya biashara ambayo Tanzania imesaini ili kujiletea mafanikio katika biashara zao na kukuza pato, kuinua uchumi

More information

TUKIO (Event) WAHUSIKA (Participants) WASIMAMIZI ENEO(Coverage) MAHALI (Place)

TUKIO (Event) WAHUSIKA (Participants) WASIMAMIZI ENEO(Coverage) MAHALI (Place) TAREHE (Date) JAN FEB TUKIO (Event) WAHUSIKA (Participants) WASIMAMIZI ENEO(Coverage) MAHALI (Place) 1 3 Mapumziko ya Mwaka Mpya Watendakazi Watendakazi 06 Sabato ya Kufunga na Kuomba Wachungaji & Wazee

More information

Mwongozo wa Utekelezaji wa vikwazo vilivyowekewa Korea Kaskazini - Changamoto zinazokumba nchi barani Afrika

Mwongozo wa Utekelezaji wa vikwazo vilivyowekewa Korea Kaskazini - Changamoto zinazokumba nchi barani Afrika Mwongozo wa Utekelezaji wa vikwazo vilivyowekewa Korea Kaskazini - Changamoto zinazokumba nchi barani Afrika Imetayarishwa na Shirika la Kimataifa la Utiifu na Uwezo Septemba 2018 Washington, DC Marekani

More information

HOTUBA YA WAZIRI WA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI, MHESHIMIWA SAMUEL J. SITTA (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA

HOTUBA YA WAZIRI WA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI, MHESHIMIWA SAMUEL J. SITTA (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA HOTUBA YA WAZIRI WA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI, MHESHIMIWA SAMUEL J. SITTA (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2011/2012 i Kama mjuavyo tarehe 1 Julai, 2010

More information

KUMBUKUMBU ZA MKUTANO NA MAANGALIZO

KUMBUKUMBU ZA MKUTANO NA MAANGALIZO MKUTANO KATI YA IDARA YA WANYAMAPORI, JUMUIA ZA KIJAMII ZILIZOIDHINISHWA (AA) ZA MAENEO YA HIFADHI ZA WANYAMAPORI ZA JUMUIA (WMA), WAWAKILISHI WA VIJIJI, WILAYA NA MAKAMPUNI YA KITALII JUU YA KANUNI ZA

More information

SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi TAARIFA YA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM

More information

East African Currency...

East African Currency... East African Currency... This will definitely take you back to some old memories! Hope that you haven't forgotten your Swahili... From German to Gt. Britain gov'ts, check out the old E. A. currency from

More information

Thursday, December 03,

Thursday, December 03, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MABADILIKO YA TABIANCHI: MIKAKATI YA UTEKELEZAJI NA VIPAUMBELELE VYA KITAIFA RICHARD MUYUNGI OFISI YA MAKAMU WA RAIS Thursday, December 03, 2009 1 YALIYOMO Utangulizi Mikakati

More information

How best to promote the Conservation of Zanzibar Stone Town. By Mahmoud Thabit Kombo -Chairman ZSTHS (JUHIMKO)

How best to promote the Conservation of Zanzibar Stone Town. By Mahmoud Thabit Kombo -Chairman ZSTHS (JUHIMKO) How best to promote the Conservation of Zanzibar Stone Town By Mahmoud Thabit Kombo -Chairman ZSTHS (JUHIMKO) The Meaning of World Heritage Site Definition by UNESCO A site of outstanding value for the

More information

WIZARA YA KAZI NA AJIRA TAARIFA KWA UMMA ORODHA YA MAKAMPUNI YALIYOIDHINISHWA NA SERIKALI KUENDESHA HUDUMA ZA WAKALA BINAFSI WA AJIRA NCHINI

WIZARA YA KAZI NA AJIRA TAARIFA KWA UMMA ORODHA YA MAKAMPUNI YALIYOIDHINISHWA NA SERIKALI KUENDESHA HUDUMA ZA WAKALA BINAFSI WA AJIRA NCHINI WIZARA YA KAZI NA AJIRA TAARIFA KWA UMMA ORODHA YA MAKAMPUNI YALIYOIDHINISHWA NA SERIKALI KUENDESHA HUDUMA ZA WAKALA BINAFSI WA AJIRA NCHINI 1. Tarehe 27/1/2014, Mhe. Waziri wa Kazi na Ajira, Bibi Gaudentia

More information

Wanafunzi waliofukuzwa Ndanda kurejeshwa shuleni

Wanafunzi waliofukuzwa Ndanda kurejeshwa shuleni Sauti ya Waislamu ISSN 0856-3861 Na. 996 RABBIUL AWWAL 1433, IJUMAA JAN. 27 - FEB. 2, 2012 BEI TShs 500/=, Kshs 50/= Uhalali wa muungano kwanza katiba baadae Uk. 2 Wanafunzi waliofukuzwa Ndanda kurejeshwa

More information

LEARNING BY EAR The Promised Land - A Story of African Migration to Europe. EPISODE TEN: Two Faces of Migration

LEARNING BY EAR The Promised Land - A Story of African Migration to Europe. EPISODE TEN: Two Faces of Migration LEARNING BY EAR 2011 The Promised Land - A Story of African Migration to Europe EPISODE TEN: Two Faces of Migration AUTHOR: Chrispin Mwakideu EDITORS: Katrin Ogunsade, Klaus Dahmann PROOFREADER: Pendo

More information

IN MEMORIAM JOHN FRANCIS MARCHMANT MIDDLETON

IN MEMORIAM JOHN FRANCIS MARCHMANT MIDDLETON SWAHILI FORUM 17 (2010): 3-8 IN MEMORIAM JOHN FRANCIS MARCHMANT MIDDLETON It was with immense sadness and sense of loss that the students, colleagues and friends of John Middleton received the news of

More information

MAMLAKA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI (VETA)

MAMLAKA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI (VETA) MAMLAKA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI (VETA) TANGAZO LA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI DARAJA LA TATU (LEVEL III) VETA INAPENDA KUWATANGAZIA WATANZANIA WOTE KUWA MAFUNZO KWA DARAJA LA TATU YATAANZA

More information

GALIL. 1 Liter INSECTICIDE. An insecticide for the control of thrips, aphids and whitefly nymphs on roses

GALIL. 1 Liter INSECTICIDE. An insecticide for the control of thrips, aphids and whitefly nymphs on roses GALIL An insecticide for the control of thrips, aphids and whitefly nymphs on roses Sumu ya kuua wadudu aina ya thrips, aphids na whitefly nymphs kwenye maua aina ya rosa SCAN FOR WEBSITE FLAMMABLE LIQUID

More information

DEFERRED LIST ON 14/8/2018

DEFERRED LIST ON 14/8/2018 DEFERRED LIST ON 14/8/2018 SN WP.NO Employer Applicant name Decision made 1 WPD/8480/16 M/s. Light in Africa Children's Home Mrs. KYNN Kaziah Elliott Awasilishe Lost Report ya vyeti 2 WPC/3216/18 M/s.

More information

Lesson 34a: Environment

Lesson 34a: Environment bahari / bahari ziwa / maziwa kisiwa / visiwa pwani / pwani bara / bara mto / mito mlima / milima mbingu / mbingu mti / miti nyasi / nyasi ua / maua tawi / matawi jani / majani mchanga udongo msitu / misitu;

More information

78% AREA 64 YEARS. in Climate. Capital NAIROBI. Literacy. Population: 46,790,758. Time Zone. Language. Economics $141.6 BILLION 580,367 KM 2

78% AREA 64 YEARS. in Climate. Capital NAIROBI. Literacy. Population: 46,790,758. Time Zone. Language. Economics $141.6 BILLION 580,367 KM 2 2006 in 2006 THE 410 BRIDGE STARTED IT S WORK IN KENYA. Climate VARIES FROM TROPICAL ALONG COAST TO ARID IN INTERIOR Population: 46,790,758 (JULY 2016, WORLD FACTBOOK) Time Zone UTC +3 7-8 HOURS AHEAD

More information

MUSOMA MUNICIPAL COUNCIL. (All communication should be addressed to the Municipal Director)

MUSOMA MUNICIPAL COUNCIL. (All communication should be addressed to the Municipal Director) MUNICIPAL COUNCIL. (All communication should be addressed to the Municipal Director) Tel:No. 028-2622560/2622550 Fax No. 028-2620550 E-mail: md@musomamc.go.tz The Municipal Director's Office P.O. Box 194

More information

Contact information Longonot Gate Development Limited

Contact information Longonot Gate Development Limited LONGONOT GATE Contact information Longonot Gate Development Limited Muthaiga Road Opposite Mobil Plaza, P.O.Box 64553 00620, Nairobi. Telephone 020-2067872 Mobile 0710 129261 Email: info@longonotgate.co.ke

More information

TRAINER TRAINING IN TANZANIA Contextualisation, Benefits and Pitfalls of Offshore Delivery. Marc Ratcliffe. Our Safari. Habari! Jambo Sana!

TRAINER TRAINING IN TANZANIA Contextualisation, Benefits and Pitfalls of Offshore Delivery. Marc Ratcliffe. Our Safari. Habari! Jambo Sana! TRAINER TRAINING IN TANZANIA Contextualisation, Benefits and Pitfalls of Offshore Delivery Marc Ratcliffe Our Safari Habari! Jambo Sana! Some statistics about International VET Brief overview of our trainer

More information

KRA OFFICES BUILDING ROAD POSTAL ADDRESS

KRA OFFICES BUILDING ROAD POSTAL ADDRESS ISO 9001:2008 CERTIFIED DOMESTIC TAXES DEPARTMENT (DTD) OFFICES KRA OFFICES BUILDING ROAD POSTAL ADDRESS TELEPHONE HEADQUARTERS Times Tower Haile Selassie 48240-00100 254-20-2 810 000 Building Avenue CONTACT

More information

The history of Zaire as told and painted by Tshibumba Kanda Matulu in conversation with Johannes Fabian

The history of Zaire as told and painted by Tshibumba Kanda Matulu in conversation with Johannes Fabian 1 sur 22 05.02.2006 0:35 ISSN: 1570-0178 Volume 2, Issue 4 (26 August 1999) The history of Zaire as told and painted by Tshibumba Kanda Matulu in conversation with Johannes Fabian Introduction First Session,

More information

JABALI AFRICAN ACROBATS TEACHER'S NOTES

JABALI AFRICAN ACROBATS TEACHER'S NOTES JABALI AFRICAN ACROBATS TEACHER'S NOTES Brought to you by Class Act Performing Artists & Speakers; 800-808-0917 JABALI ACROBATS This incredible Kenyan troupe combines Chinese and African traditions of

More information

TANZANIA FOOD AND NUTRITION CENTRE

TANZANIA FOOD AND NUTRITION CENTRE TANZANIA FOOD AND NUTRITION CENTRE INVENTORY FOR NUTRITION INFORMATION EXCHANGE PARTNERS With Contact Addresses of Key Nutrition Information Exchange Partners in Tanzania 2007 BY: Sylvia Shao Charles Mamuya

More information

DOMESTIC TAXES DEPARTMENT (DTD) OFFICES DIRECTORY

DOMESTIC TAXES DEPARTMENT (DTD) OFFICES DIRECTORY DOMESTIC TAXES DEPARTMENT (DTD) OFFICES DIRECTORY KRA OFFICES BUILDING ROAD POSTAL ADDRESS TELEPHONE HEADQUARTERS Times Tower Building Haile Selassie Avenue 48240-00100 +254 20 281 0000 CONTACT CENTRE

More information

ZNCCIA Members Qualify to the GIZ Creating Perspectives Project.

ZNCCIA Members Qualify to the GIZ Creating Perspectives Project. 03: ZAYEE ZNCCIA Joins the World to Celebrate Entrepreneurship 04: Zanzibar Chamber signs an MOU with FEI 05: Mwanamke Chakarika: Bridging the Zanzibar Youth Unemployment Gap ZNCCIA Members Qualify to

More information

4,834, , Dar es Salaam Safety Nets Chama cha Utafiti wa Magonjwa Sugu na UKIMWI kwa Tiba Asilia Tanzania,

4,834, , Dar es Salaam Safety Nets Chama cha Utafiti wa Magonjwa Sugu na UKIMWI kwa Tiba Asilia Tanzania, Page 1 of 3 4,177,913,520 disbursed for RSG, MG and RDG project in November 2006 Name of Organisation Thematic Areas Funding Applications Round 3, RSG September 2006 1 Campaign for Travellers Safety, P.O.

More information

Our treasures at Risk Statements by all participants of the International Youth Forum Go4BioDiv at COP10, Nagoya, Japan

Our treasures at Risk Statements by all participants of the International Youth Forum Go4BioDiv at COP10, Nagoya, Japan Our treasures at Risk Statements by all participants of the International Youth Forum Go4BioDiv at COP10, Nagoya, Japan - in English and our native languages - Avaaraq, 25, Ilulissat Icefjord, Greenland:

More information

When greeting someone older than you in Swahili, you say

When greeting someone older than you in Swahili, you say They call me Yame When greeting someone older than you in Swahili, you say shikamoo to show respect. Only 2.5 percent of Tanzania s population is over 65. In our village, that includes about 140 people.

More information

PREPARATORY SURVEY FOR INTEGRATED SOLID WASTE MANAGEMENT IN NAIROBI CITY IN THE REPUBLIC OF KENYA FINAL REPORT VOLUME 4 DATA BOOK SECTION I

PREPARATORY SURVEY FOR INTEGRATED SOLID WASTE MANAGEMENT IN NAIROBI CITY IN THE REPUBLIC OF KENYA FINAL REPORT VOLUME 4 DATA BOOK SECTION I PREPARATORY SURVEY FOR INTEGRATED SOLID WASTE MANAGEMENT IN NAIROBI CITY IN THE REPUBLIC OF KENYA FINAL REPORT VOLUME 4 DATA BOOK SECTION I HAZARDOUS WASTE MANAGEMENT TABLE OF CONTENTS 1. Medical Facilities

More information

Geophysical Data. On East African Coast astride the equator

Geophysical Data. On East African Coast astride the equator GENERAL OVERVIEW OF KENYA Geophysical Data Location: Geographic coordinates Area: Climate: Neighbours: Seas: Lakes: Cities: Major Towns: Currency: On East African Coast astride the equator 1 00 N, 38 00

More information

F o u r n i g h t s. K e n y a S a f a r i

F o u r n i g h t s. K e n y a S a f a r i F o u r n i g h t s in K e n y a S a f a r i This Eid, leave on a journey to witness magnificence! Jungle safaris in the exotic national parks and wildlife sanctuaries of Kenya are a splendid way to spend

More information

Sanctuary Masai Mara Seasonal Camp, Masai Mara

Sanctuary Masai Mara Seasonal Camp, Masai Mara Sanctuary Masai Mara Seasonal Camp, Masai Mara Page 1 of 7 Seasonal Camping Sanctuary Masai Mara Seasonal Camp is located on a private concession on the banks of the Mara River and is operational from

More information

Town Select the Dealer Region AA Pipeline rd ENLIGHT COMMUNICATION LIMITED Nairobi Balozi East Zone Distributors Nairobi Banana KAUTHUR ELECTRONICS

Town Select the Dealer Region AA Pipeline rd ENLIGHT COMMUNICATION LIMITED Nairobi Balozi East Zone Distributors Nairobi Banana KAUTHUR ELECTRONICS AA Pipeline rd ENLIGHT COMMUNICATION LIMITED Nairobi Balozi East Zone Distributors Nairobi Banana KAUTHUR ELECTRONICS LIMITED Nairobi Buruburu COMMUNICATION POINT LIMITED Nairobi Buruburu IDEAL FONE LIMITED

More information

Boemedi jwa Kenya. President Uhuru Kenyatta on an official visit to Botswana. Kenya High Commission - Botswana. Newsletter March 2014

Boemedi jwa Kenya. President Uhuru Kenyatta on an official visit to Botswana. Kenya High Commission - Botswana. Newsletter March 2014 Boemedi jwa Kenya Kenya High Commission - Botswana Newsletter March 2014 President Uhuru Kenyatta on an official visit to Botswana Konza City where African silicon savannah begins Konza Techno City is

More information

Enging asia enaidura engerai oingat naji Namunyak Maajabu ya uhamaji wa mtoto wa nyumbu anayeitwa Bahati The Amazing Migration of Lucky the Wildebeest

Enging asia enaidura engerai oingat naji Namunyak Maajabu ya uhamaji wa mtoto wa nyumbu anayeitwa Bahati The Amazing Migration of Lucky the Wildebeest Enging asia enaidura engerai oingat naji Namunyak Maajabu ya uhamaji wa mtoto wa nyumbu anayeitwa Bahati The Amazing Migration of Lucky the Wildebeest An Adventure by Monica Bond and Derek Lee designed

More information

NO. LICENSEE NAME LICENSE TYPE BUILDING/PHYSICAL ADDRESS 1. 2 NK SACCO LIMITED P.O. BOX NYERI. NATIONAL COURIER OPERATOR

NO. LICENSEE NAME LICENSE TYPE BUILDING/PHYSICAL ADDRESS 1. 2 NK SACCO LIMITED P.O. BOX NYERI. NATIONAL COURIER OPERATOR NO. LICENSEE NAME LICENSE TYPE BUILDING/PHYSICAL ADDRESS 1. 2 NK SACCO P.O. BOX 12196-10109 NYERI. KANG'ARU CORNER HOUSE 2. ACROSS BODERS P.O. BOX 46563-00100 3. ADONAI LOGISTICS & FREIGHT P.O. BOX 7550-00200

More information

INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN TANZANIA

INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN TANZANIA INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN TANZANIA PROF JOSEPH MSAMBICHAKA MBEYA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY 50 TH YEARS ERB ANNIVERSARY 5 TH TO 7 TH SEPTEMBER 2018 PRESENTATION LAYOUT 1. DEFINITION OF INFRASTRUCTURE

More information

KENYA RESEARCH MARKET UPDATE - 1ST HALF 2018 HIGHLIGHTS. Sanlam Tower, Westlands, Nairobi

KENYA RESEARCH MARKET UPDATE - 1ST HALF 2018 HIGHLIGHTS. Sanlam Tower, Westlands, Nairobi RESEARCH KENYA MARKET UPDATE - 1ST HALF 2018 HIGHLIGHTS Kenya s economic outlook positive for 2018 Kenya Shilling strengthens against Sterling Pound & Euro The Treasury recommends lifting Interest Rate

More information

UHDA NEWS. Welcome Note. In This Issue

UHDA NEWS. Welcome Note. In This Issue UHDA NEWS UHDA Newsletter APRIL JUNE 2016 ISSUE 9 Welcome Note We take the opportunity to appreciate all of you for the success of the UHDA Stakeholder Forum held on 12th April 2016 and the UHDA Security

More information

KENYAADVENTURE SAFARI ON THE WILD SIDE. Want to Test Your Limits?

KENYAADVENTURE SAFARI ON THE WILD SIDE. Want to Test Your Limits? KENYAADVENTURE SAFARI Want to Test Your Limits? If you like to travel with a sense of adventure, then Kenya is the place for you. The dedicated thrill-seeker will find a world of challenges awaiting them.

More information

THE AFRICAN SKIES LAIKIPIA / ABERDARES / LAKE BARINGO / LAKE NAKURU / MASAI MARA

THE AFRICAN SKIES LAIKIPIA / ABERDARES / LAKE BARINGO / LAKE NAKURU / MASAI MARA DAY 1: Nairobi Arrival THE AFRICAN SKIES LAIKIPIA / ABERDARES / LAKE BARINGO / LAKE NAKURU / MASAI MARA Upon arrival at Jomo Kenyatta International Airport, you will be met by our representative and transfer

More information

APPENDIX 15 EXPECTED ENVIRONMENTAL IMPACTS OF THE MASTER PLAN

APPENDIX 15 EXPECTED ENVIRONMENTAL IMPACTS OF THE MASTER PLAN APPENDIX 15 EXPECTED ENVIRONMENTAL IMPACTS OF THE MASTER PLAN Page 15.1 PHOTOGRAPHS OF THE MISSING LINKS A15-1 15.2 ENVIRONMENTAL IMPACTS OF MISSING LINK CONSTRUCTION WORKS, INTERSECTION IMPROVEMENT, ROAD

More information

QUEENEX PUBLISHERS LTD

QUEENEX PUBLISHERS LTD PUBLISHERS LTD 2018-2019 PRICE LIST ECDE, PRIMARY, & GENERAL BOOKS BOOKS YOU CAN TRUST Kahawa Sukari Off Thika Road P. O. Box 56049 00200 Nairobi, Kenya Tel: 0727 794 498,0715 808 200, 0720 570 530 Email:queenexbooks@gmail.com,

More information

Status of African Countries in meeting the ICAO Requirement Compliance on Quality Mamagement Systems (QMS) & Competency Assessment and Documentation

Status of African Countries in meeting the ICAO Requirement Compliance on Quality Mamagement Systems (QMS) & Competency Assessment and Documentation Status of African Countries in meeting the ICAO Requirement Compliance on Quality Mamagement Systems (QMS) & Competency Assessment and Documentation Second Task Force Meeting of AMCOMET 26-28 May 2014

More information

World66's guide to Kenya

World66's guide to Kenya Table of Contents Kenya...1 Kenya History...1 Kenya Language...2 Kenya Getting There...10 Kenya Safety and Security...10 Kenya Safaris...13 Kenya Getting Around...14 Kenya Books...16 Kenya Eating Out...18

More information

HERE BELOW KINDLY FIND UNBEATABLE & DISCOUNTED SPECIAL OFFERS / SAFARI DEALS!

HERE BELOW KINDLY FIND UNBEATABLE & DISCOUNTED SPECIAL OFFERS / SAFARI DEALS! Greetings from Palbina Travel www.palbinatravel.com! When was the last time you visited a place that uched your soul? We'll take you there, because it s time take a break and relax it s time have fun and

More information

Grade 5 Geography Term 1

Grade 5 Geography Term 1 1 Grade 5 Geography Term 1 Contents Section 1: World map and compass directions... 2 The position of the equator and the North and South Poles on a globe... 2 The seven continents of the world... 3 The

More information

Fostering healthcare Investments through PPPs. George Uduku Health Systems November 2017

Fostering healthcare Investments through PPPs. George Uduku Health Systems November 2017 Fostering healthcare Investments through PPPs George Uduku November 2017 Healthcare Industry : Infrastructure 1/2 There is a wide gap in healthcare infrastructure and a major shortage of healthcare workers

More information

EAST AFRICA ITINERARY

EAST AFRICA ITINERARY EAST AFRICA ITINERARY December 5 th March 1 st Outbound Flights Tuesday December 5 Emirates Flight: EK20 Departure: Manchester Intl - UK @ 2035 Arrival: Dubai Intl Arpt -United Arab Emirates @ 0750 Wednesday

More information

CABLE MANAGEMENT SYSTEMS

CABLE MANAGEMENT SYSTEMS CABLE MANAGEMENT SYSTEMS R-LINE CABLE TRAY CABLE TRUNKING CABBLE LADDER CAGED TRUNKING PLASTIC TRUNKING Contents. Page 4 CABLE TRAYS CABLE TRUNKINGS Page 6 Page 8 CABLE LADDER CAGED TRUNKING Page 9 Page

More information

AFRICA INTERNATIONAL EXPORT AND IMPORT FAIR

AFRICA INTERNATIONAL EXPORT AND IMPORT FAIR Africa International export and Import Fair A World of opportunities 7 th Wednesday 15 th - Friday 17 th A-EXIM AFRICA INTERNATIONAL EXPORT AND IMPORT FAIR, October 2014. at the K.I.C.C, Nairobi Kenya

More information

Welcome to Kenya. Know your History

Welcome to Kenya. Know your History Welcome to Kenya "I felt proud to know my research would be vital in ensuring that these beautiful, gentle creatures do not face extinction. Swimming with the biggest fish in the ocean took my breath away!"

More information

LOCAL NGOs. Tanzania Agriculture Capacity Building (TACAB) P.O BOX Cell: Tanzania Agricultural Development Trust (TADT)

LOCAL NGOs. Tanzania Agriculture Capacity Building (TACAB) P.O BOX Cell: Tanzania Agricultural Development Trust (TADT) LOCAL NGOs Tanzania Agriculture Capacity Building (TACAB) P.O BOX 12831 Cell: 0718809543 Tanzania Agricultural Development Trust (TADT) Uhuru Street, Mwalimu House, 3rd Floor, P.O Box 72833, Dar es Salaam

More information

BUKHU LA ULANGIZI WA NTHENDA YA CHITOPA NDI KATEMERA WA I2

BUKHU LA ULANGIZI WA NTHENDA YA CHITOPA NDI KATEMERA WA I2 Inter Aide Agro 3 Mayaka Agro-Phalombe European Union Malawi BUKHU LA ULANGIZI WA NTHENDA YA CHITOPA NDI KATEMERA WA I2 References: Pictures and text from Controlling Newcastle Disease in Village Chickens

More information

East Africa Retail Tariff 2017

East Africa Retail Tariff 2017 East Africa Retail Tariff 1 Index A&K in East Africa Page 3 Tanzania: The Best of Tanzania Page 4-5 Highlights of Tanzania Page 6-7 Family Fun in Tanzania Page 8-9 Wild Romance in Tanzania Page 10-11 The

More information

BEACH AND BUSH SAMBURU / SWEETWATERS / MASAI MARA / DIANI BEACH

BEACH AND BUSH SAMBURU / SWEETWATERS / MASAI MARA / DIANI BEACH DAY 1: Nairobi Arrival BEACH AND BUSH SAMBURU / SWEETWATERS / MASAI MARA / DIANI BEACH Upon arrival at Jomo Kenyatta International Airport, you will be met by our representative and your driver guide and

More information

Name of Company 1 THREE RINGS CO. LTD KIU BASTA 2 S.M. KAHIGA ENTERPRISE CO. LTD COUNTY WATER

Name of Company 1 THREE RINGS CO. LTD KIU BASTA 2 S.M. KAHIGA ENTERPRISE CO. LTD COUNTY WATER Name of Company Brand 1 THREE RINGS CO. LTD KIU BASTA 2 S.M. KAHIGA ENTERPRISE CO. LTD COUNTY WATER TAIFA COOL SPRINGS LTD TAIFA COOL NATURAL PRODUCTS 3 4 SOFTA BOTTLING CO. LTD ANGELWEISS 5 ALAIN ENTERPRISES

More information

SKYSAFARI 2018 RATES ITINERARIES ROUTE MAPS DEPARTURE DATES

SKYSAFARI 2018 RATES ITINERARIES ROUTE MAPS DEPARTURE DATES Kenya SkySafari SKYSAFARI 2018 RATES ITINERARIES ROUTE MAPS DEPARTURE DATES DEPARTURE DATES SkySafari Kenya Connoisseur RATES ITINERARY ROUTE MAP SkySafari Kenya Extensions RATES SKYSAFARI KENYA: DEPARTURE

More information

Cytonn Corporate Governance Report , & Cytonn Weekly #39/2018

Cytonn Corporate Governance Report , & Cytonn Weekly #39/2018 Cytonn Corporate Governance Report - 2018, & Cytonn Weekly #39/2018 Real Estate I. Industry Reports During the week, the Central Bank of Kenya released its 2018 Financial Stability Report, which tracks

More information

Classic Explore Mara Safari. 6 Nights Masai Mara

Classic Explore Mara Safari. 6 Nights Masai Mara Classic Explore Mara Safari 6 Nights Masai Mara Il Moran Camp is hidden in the cool shade of the riverine forest that follows the meanders of the Mara River. Each tent enjoys a private location from which

More information

Experience Kenya Tours and Travel

Experience Kenya Tours and Travel 6 DAYS MAASAI MARA/LAKE NAIVASHA/AMBOSELI NATIONAL PARK DAY 1 Arrive at the JKIA (Jomo Kenyatta International Airport) meet our driver/guide who will transfer you to the hotel (Sentrim Boulevard) rest

More information

SPEECH BY MAMA MIRIA OBOTE IN HONOUR OF THE FOUNDING FATHERS OF THE EAST AFRICAN COMMUNITY, AT ARUSHA TANZANIA 31ST

SPEECH BY MAMA MIRIA OBOTE IN HONOUR OF THE FOUNDING FATHERS OF THE EAST AFRICAN COMMUNITY, AT ARUSHA TANZANIA 31ST SPEECH BY MAMA MIRIA OBOTE IN HONOUR OF THE FOUNDING FATHERS OF THE EAST AFRICAN COMMUNITY, AT ARUSHA TANZANIA 31ST MAY2015. Introduction We are delighted, humbled and honoured, to stand before this august

More information

Kenya Classic Pioneer Safari circa Nights Lewa Wildlife Conservancy Masai Mara

Kenya Classic Pioneer Safari circa Nights Lewa Wildlife Conservancy Masai Mara Kenya Classic Pioneer Safari circa 1972 6 Nights Lewa Wildlife Conservancy Masai Mara Lewa Wilderness sits within one of Kenya s major private conservation success stories; the Lewa Wildlife Conservancy.

More information

HIGHWAY SCIENTIFIC AND TECHNICAL WORKSHOP AND REGIONAL STAKEHOLDER AND STEERING COMMITTEE MEETING INFORMATION FOR PARTICIPANTS

HIGHWAY SCIENTIFIC AND TECHNICAL WORKSHOP AND REGIONAL STAKEHOLDER AND STEERING COMMITTEE MEETING INFORMATION FOR PARTICIPANTS Kenya Meteorological Department HIGHWAY SCIENTIFIC AND TECHNICAL WORKSHOP AND REGIONAL STAKEHOLDER AND STEERING COMMITTEE Welcome Note INFORMATION FOR PARTICIPANTS The Local Organizing Committee of the

More information

Inserve. Lake Victoria shipping, past, present and future.

Inserve. Lake Victoria shipping, past, present and future. Inserve marine technical services Renown House 33/34 Bury Street London EC3A 5AT Tel: +44 (0)207 929 2379 Fax: +44 (0)207 929 2479 info@inserve.org www.inserve.org Lake Victoria shipping, past, present

More information

MEDICAL PROVIDERS LIST NAIROBI COUNTY

MEDICAL PROVIDERS LIST NAIROBI COUNTY MEDICAL PROVIDERS LIST NAIROBI COUNTY www.jubileeinsurance.com NAME OF PROVIDER PHYSICAL ADDRESS TELEPHONE SERVICES WORKING HOURS NAIROBI CBD Mater - Town Branch Karen Meridian Medical Centre- Nation Centre

More information

MISSION LOGISTICS NOTE

MISSION LOGISTICS NOTE MISSION LOGISTICS NOTE ITU-MPTT- WORLD BANK NATIONAL WORKSHOP ON NUMBERING PLANNING AND POLICIES FOR SOMALI S ICT STAKEHOLDERS WORLD BANK COUNTRY OFFICE, NAIROBI, -KENYA, 8-9 NOVEMBER 2017 Information

More information

WriteBonni Bonnie Rose Hudson WriteBonnieRose.com. By Bonnie Rose Hudson

WriteBonni Bonnie Rose Hudson WriteBonnieRose.com. By Bonnie Rose Hudson WriteBonni- By Bonnie Rose Hudson Copyright 2015 by Bonnie Rose Hudson All Rights Reserved. This book may not be reproduced or transmitted by any means, including graphic, electronic, or mechanical, without

More information

Bridging the Gap: Benchmarking Utilities in Africa

Bridging the Gap: Benchmarking Utilities in Africa Bridging the Gap: Benchmarking Utilities in Africa Rosemary Rop World Water Week Stockholm, Focus Africa: August 23 rd 2011 Water and Sanitation Program Global Status: Water and Sanitation Access Gaps

More information

14 Days Safari-cultural tour and big game safari

14 Days Safari-cultural tour and big game safari Kitawa Tours & Safaris Ltd P. O. Box 11289 Arusha Tanzania Block no 120 Sekei Road www.kitawasafaris.com tz@kitawasafaris.com kitawatours.safaris@gmail.com +255-782-915-454 and +255-673-360-709 14 Days

More information

DECONGESTION OF ROADS IN NAIROBI

DECONGESTION OF ROADS IN NAIROBI DECONGESTION OF ROADS IN NAIROBI PRESENTED DURING THE REGIONAL WORKSHOP ON PROMOTING SUSTAINABLE TRANSPORT SOLUTIONS HELD ON 7 TH AUGUST, 2012 UNEP HEADQUARTERS NAIROBI By: ENG. M. M. NJONGE KENYA URBAN

More information

Mountaineering. Cultural Tours. Primate Trekking. Wildlife Safaris. s e r v. i c e. explore uganda the pearl of africa

Mountaineering. Cultural Tours. Primate Trekking. Wildlife Safaris. s e r v. i c e. explore uganda the pearl of africa Mountaineering Cultural Tours Primate Trekking Quality Wildlife Safaris s e r v i c e explore uganda the pearl of africa Sample Itineraries & Rates Inside! Karibu Welcome! Bunyonyi Safaris Ltd welcomes

More information

Over 50 s Veteran s Cricket Tournament in Kenya. February/March Going Further

Over 50 s Veteran s Cricket Tournament in Kenya. February/March Going Further Over 50 s Veteran s Cricket Tournament in Kenya February/March 2019 Going Further Your Itinerary Going Further You will spend time in the vibrant city of Nairobi, before travelling to the Great Rift Valley

More information

Your consultant: Anu Arora. Phone:

Your consultant: Anu Arora. Phone: Magical Kenya Your consultant: Anu Arora Phone: +91-9899685829 E-mail: worldwide@cultureholidaysindia.com Day 1 Nairobi - Arrival Pick up from your home / Airport, you will be met and assisted by our

More information

JICA s activity in the Northern Economic Corridor. 7 Dec 2015, Nairobi

JICA s activity in the Northern Economic Corridor. 7 Dec 2015, Nairobi JICA s activity in the Northern Economic Corridor 7 Dec 2015, Nairobi Contents 1. Japan s commitment on corridor development 2. On-going support on corridor development 3. JICA s activity on Northern Economic

More information

International Arrivals in Africa 2017 Jan-Jul Year to Date Forward looking 2017 Aug-Dec

International Arrivals in Africa 2017 Jan-Jul Year to Date Forward looking 2017 Aug-Dec www. forwardkeys. com International Arrivals in 2017 Jan-Jul Year to Date Forward looking 2017 Aug-Dec Special Focus on East n Community (EAC) August 2017 Know tomorrow s travellers 2017YTD: the Americas,

More information

WORLD METEOROLOGICAL ORGANIZATION EXECUTIVE COUNCIL PANEL OF EXPERTS ON EDUCATION AND TRAINING; 28TH SESSION

WORLD METEOROLOGICAL ORGANIZATION EXECUTIVE COUNCIL PANEL OF EXPERTS ON EDUCATION AND TRAINING; 28TH SESSION Kenya Meteorological Department WORLD METEOROLOGICAL ORGANIZATION EXECUTIVE COUNCIL PANEL OF EXPERTS ON EDUCATION AND TRAINING; 28TH SESSION 17 to 19 April 2018 Welcome Note INFORMATION FOR PARTICIPANTS

More information

Detailed Itinerary DAY 1 DAY 2 DAY 3

Detailed Itinerary DAY 1 DAY 2 DAY 3 Bamba Big 5 Ways (from Nairobi) Recommended Time: 10 Days Start: Nairobi, Kenya End: Arusha, Tanzania Countries Visited: Kenya, Tanzania Detailed Itinerary DAY 1 Masai Mara Interactive & Lake Nakuru Safari

More information

Commissioned by Paul and Joyce Riedesel in honor of their 45th wedding anniversary. Lux. œ œ œ - œ - œ œ œ œ œ œ œ œ œ œ. œ œ œ œ œ œ œ œ œ.

Commissioned by Paul and Joyce Riedesel in honor of their 45th wedding anniversary. Lux. œ œ œ - œ - œ œ œ œ œ œ œ œ œ œ. œ œ œ œ œ œ œ œ œ. LK0-0 Lux/ a caella $2.00 Commissioned by aul and Joyce Riedesel in honor of their 5th edding anniversary. Offertorium and Communio from the Requiem Mass f declamatory - solo - - - - U Ex - au - di o -

More information

A BRIEF ON MY 100 DAYS IN OFFICE

A BRIEF ON MY 100 DAYS IN OFFICE A BRIEF ON MY 100 DAYS IN OFFICE 1 On the 25 th of November 2015, President Uhuru Kenyatta made a reshuffle of his cabinet and returned me to the Ministry of Tourism where I had previously and successfully

More information

JEWELS OF KENYA KENYA 08 NIGHTS / 10 DAYS. TOLL FREE NO:

JEWELS OF KENYA KENYA 08 NIGHTS / 10 DAYS.   TOLL FREE NO: JEWELS OF KENYA KENYA 08 NIGHTS / 10 DAYS TOLL FREE NO: 1-844-483-0331 TRAVEL MAP MASAI MARA NAIROBI SERENGETI NGORONGORO ARUSHA DAY 1: DEPART FROM USA Highlights of the day: Depart from USA Board ight

More information

Kenya Safari & Island Visit JULY 25 - AUG 3, Seacology

Kenya Safari & Island Visit JULY 25 - AUG 3, Seacology Kenya Safari & Island Visit JULY 25 - AUG 3, 2014 Join Seacology in Kenya for an unforgettable eco-safari and a visit to Wasini Island. This safari will include a visit to the Lewa Wildlife Conservancy,

More information

The Camp is located along the banks of the Mara River, Masai Mara, Kenya. Camp description

The Camp is located along the banks of the Mara River, Masai Mara, Kenya. Camp description The Camp is located along the banks of the Mara River, Masai Mara, Kenya Camp description The camp for those who want that extra bit of luxury. Governors IL Moran Camp is small and intimate, with added

More information

The 2016 Great African Private Flying Adventure

The 2016 Great African Private Flying Adventure The 2016 Great African Private Flying Adventure MARA PLAINS KENYA Nairobi OL DONYO LODGE Exploring the wilds of Botswana along with the open natural wildlife filled landscapes of Kenya. Great Plains Conservation

More information

Travel Information Kenya

Travel Information Kenya The following information is meant to allow you a pleasant time in Kenya, feeling comfortable in any situation. Visa The visa can be bought at arrival at the airport in Nairobi. A visa costs $ 50 per person.

More information

LADIES ONLY SAFARI TO KENYA AND TANZANIA SMALL GROUP 4 X 4 SAFARI STAYING IN COMFORTABLE TENTED CAMPS AND LODGES - SEPTEMBER 2019

LADIES ONLY SAFARI TO KENYA AND TANZANIA SMALL GROUP 4 X 4 SAFARI STAYING IN COMFORTABLE TENTED CAMPS AND LODGES - SEPTEMBER 2019 LADIES ONLY SAFARI TO KENYA AND TANZANIA SMALL GROUP 4 X 4 SAFARI STAYING IN COMFORTABLE TENTED CAMPS AND LODGES - SEPTEMBER 2019 ITINERARY 15 September 2019 Nairobi On arrival into Nairobi, you will be

More information

Tanzania Karibu! .. the beauty of this country is what I can only refer to as a shauri ya mungu thing.

Tanzania Karibu! .. the beauty of this country is what I can only refer to as a shauri ya mungu thing. Tanzania Karibu!.. the beauty of this country is what I can only refer to as a shauri ya mungu thing. Part I - Some Facts. If the reader finds this introduction somewhat ecclectic and poorly sequenced,

More information

Your final day of volunteering before embarking on the next leg of your journey. A great opportunity to reflect on what you ve learned.

Your final day of volunteering before embarking on the next leg of your journey. A great opportunity to reflect on what you ve learned. We believe that when you travel, there should be no compromises. Even if you are limited on time you should be able to explore while still doing some good in the world. This is what we do. In fact, we

More information

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na EA.7/96/01/I/ 169 26 Julai 2017 TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika

More information

Australian Apprentices in training - Dec quarter

Australian Apprentices in training - Dec quarter Annual Australian Apprenticeships Summary Statistics 12 months to December 217 Highlights of the NCVER December Quarter 217 - Australian Apprenticeships Statistics for Australia: In the 12 months to 31

More information

ENACTUS KENYA 2016 Elephant and Bees Project

ENACTUS KENYA 2016 Elephant and Bees Project TRIP INFORMATION ENACTUS KENYA 2016 Elephant and Bees Project provided by 1 P a g e ENACTUS KENYA 2016 Elephants and Bees TRIP INFORMATION Contents: Section 1: Trip Information Page 3 a) Itinerary b) Detailed

More information

ITINERARY SPECIALLY PREPARED FOR WILDEBEEST MIGRATION 06 NIGHTS/ 07 DAYS

ITINERARY SPECIALLY PREPARED FOR WILDEBEEST MIGRATION 06 NIGHTS/ 07 DAYS ITINERARY SPECIALLY PREPARED FOR WILDEBEEST MIGRATION 06 NIGHTS/ 07 DAYS Welcome to KENYA! Kenya is a country in East Africa with coastline on the Indian Ocean. It encompasses savannah, lakelands, the

More information

Association of African Aviation Organizations Conference Nairobi, Kenya, April 2012

Association of African Aviation Organizations Conference Nairobi, Kenya, April 2012 International Civil Aviation Organization Association of African Aviation Organizations Conference Nairobi, Kenya, 02-04 April 202 Report on the status of aviation training needs and resources in Africa

More information

PROCUREMENT REPORT FOR THE QUARTER ENDED MARCH 31, 2017

PROCUREMENT REPORT FOR THE QUARTER ENDED MARCH 31, 2017 PROCUREMENT REPORT FOR THE QUARTER ENDED MARCH 31, 2017 Page 1 of 12 PROCUREMENT REPORT FOR THE QUARTER ENDED DECEMBER 31, 2016 Pursuant to Section 44(2) (c) of the Public Procurement and Asset Disposal

More information