Welcome Karibuni. By Moses Kulaba, Agenda Participation Tanzania Corruption Tracking System /

Size: px
Start display at page:

Download "Welcome Karibuni. By Moses Kulaba, Agenda Participation Tanzania Corruption Tracking System /"

Transcription

1 Welcome Karibuni UTAWALA BORA NA UWAJIBIKAJI -TANZANIA: USHIRIKI WA WANANCHI KUIMARISHA USIMAMIZI WA RASILIMALI ZA UMMA NA WABUNGE- PARLIAMENTARY OVERSIGHT By Moses Kulaba, Agenda Participation Tanzania Corruption Tracking System /

2 Utambulisho Kuhusu Tasis ya Agenda Participation 2000 Agenda Participation 2000 ni Asasi ya Kiraria in amabayo inafanya kazi ya kuimarisha utawala bora na Ushiriki wa Wananchi kwenye mifumo ya Kidemokrasia, sera na utawala. Tuna program Tano: 1. Policy Analysis and Advocacy 2. Democratic Governance and Civic Education 3. Local Democracy and Accountability; 4. Natural Resource Governance 5. Anti Corruption and Citizens Engagement

3 Tunafanya kazi na nani 1. AP2000 infanya kazi kwa pamoja na kushirikiana na badhi ya vyombo vya serikali, haswa Bunge na vyombo vya Usimamizi kama: Bunge, Wizara, PCCB. PPRA NA CAG 2. Kwa Bunge tunafanya Kazi na Kamati ya Uchumi, Kamati ya Mashirika za Umma (POAC), Kamati ya Mahesabu ya Fedha (PAC) 3. Sasa hivi tunaendesha program ya ufuatiliaji wa Rushwa kupiti mtandao unaoitwa : Tanzania Corruption Tracking System

4 TASWIRA KATIKA NCHI NA CHANGAMOTO ZA UTAWALA BORA:Vichwa vya Habari vya leo Gas Mtwara vurugu tupu; Wananchi elfu 30,000 wamukabidi mbunge Sakaya Mazimio apeleke Bungeni Kampuni ya Ophir Energy yamutishia Mh Zitto Kabwe-Ni kuhusu kutajwa kwenye sakata ya Mabilion ya Uswiss Mabilion Uswiss yachukua sura mpya- Mwananchi - Wingu kubwa yatanda kuhusu usafirishaji wa wanyama kinyemela kwenda Qatar CAG ataka madaraka zaidi

5 TASWIRA NA PICHA

6 Demokrasia na Utawala Bora

7 TASWIRA KWENYE MAISHA YA MWANANCHI YA KILA SIKU

8 KIPIMO CHA Mo Ibrahim 2012 CHA KIWANGO CHA UTAWALA BORA: WASTAN NI 47.5-HAKINA KIONGOZI ALIEPATA MWAKA 2009,2010 & 2012 Kiwango & Nchi Rank & Country Score /100 Kiwango /100 4 Seychelles Tanzania Uganda Rwanda year change 25 Kenya Djibouti Comoros Ethiopia Burundi Eritrea Somalia Mabadiliko ndani ya miaka 6

9 GHARAMA ZA RUSHWA NA UTAWLA MBOVI KWA NCHI ZA AFRIKA na Tazania Asilimia 33% ya jumla ya Budget inapotekea kutokana na rushwa na matumizi mabaya ya pesa za serikali. Kwa wastani karibu Trln 3 zinapotea kutokana na rushwa Kiasi hiki cha fedha kingeweza kujenga madarasa 42,000 kwa wastani ya kiasi cha 7mln kwa kila darasa

10 Utendaji na usimamizi wa vyo vya uhabikaji Tasis nyingi za usimamizi zimekuwa hazina nguvu sana au zikionyesha nguvu ya kusimamia utendaji na usimamizi was rasilimali za uma- Kwa wastani asilimia 8% tu ya kesi zote za rushwa na ubadilifu zimehukumiwa

11 Kutaja na kuwasuta walarushwa na wasimamizi wa bovu wa rasilimali za umma

12 Demokrasia na Utawala Bora Uadilifu/Utu: Hii inashabihana na uwazi ambapo inahusiana sana katika mgawanyo na utumiaji wa rasilimali za taifa kwa minajili ambayo haibagui watu na haipendelei walio katika madaraka Fursa sawa kwa wote: Wananchi wote wana fursa sawa za kupata nafasi na kumiliki mali na kushindania rasilimali zilizopo bila kubaguliwa kutokuwa na makundi waliyomo kijinsia, kikabila au vinginevyo.

13 Taratibu za kujenga ustawi wa Demokrasia na Utawala Bora: Uzingatiwaji wa taratibu za kuchochea demokrasia na utawala bora nchini zinapelekea ukuzwaji mkubwa wa uwajibikaji, uwazi na ushirikishwaji katika kuongoza serikali za mitaa, kata na vijiji. Taratibu hizi ni; Uwajibikaji Ushirikishwaji Maridhiano Kusimamia maamuzi ya serikali

14 Taratibu za kujenga ustawi wa Demokrasia na Utawala Bora:

15 Misingi ya Demokrasia na Utawala Bora: Uwepo wa vipindi vya uchaguzi wa viongozi na chaguzi zenye kuzingatia haki na usawa Wananchi wana fursa kikatiba kupata taarifa, vyanzo vya taarifa viwepo na kulindwa kisheria Wananchi na wanajamii wanayofursa ya kuunda vyombo vya kijamii mathalani asasi za kiraia Kuwa na taasisi zinazolinda na kuchochea ustawi wa demokrasia nchini

16 Majukumu ya taasisi au asasi za kiraia na za kijamii katika kukuza Demokrasia na Utawala Bora: Asasi zisizo za kiserikali na asasi za kiraia zinaonekana kuwa na mchango muhimu sana katika kutoa mbinu muhimu za kukuza mabadiliko ya kidemokrasia na kiuchumi kwa kupatanisha au kuunganisha wananchi na taifa. Mchango wa asasi za kiraia ni muhimu sana kwa sababu wanachangia sana katika kutoa huduma ambazo wakati mwingine serikali haiwezi kuzitoa kwa wananchi kwa mfano:

17 Misingi ya Demokrasia na Utawala Bora: Mfumo wa uwajibikaji kutoka ngazi ya juu mpaka kwa wananchi na kutoka kwa wananchi kwenda ju( Horizontal & Vertical Accountability)

18 Misingi ya Demokrasia na Utawala Bora: Kuangalia vitendo vya serikali na kuhimiza serikali kufanya kazi ipasavyo Kuangalia utendaji wa viongozi wa serikali ili kuhakikisha wanawajibika kwa vitendo vyao na kusimamia na kugawanya rasilimali ipasavyo Kutoa hudumua za jamii na rasilimali kugawanya rasilimali za serikali kwa usawa na katika mazingira ambayo serikali haiwezi kufika hasa katika maeneo ya vijiji

19 Nini kifanyike kuboresha Utawala Bora? Kuongeza ushirikishwaji wa wananchi katika utendaji wa shughuli za umma Kujenga uelewa kwa kutoa elimu ya uraia ili kujenga jamii iliyohabarishwa Kufanya ushawishi ili kuboresha hali ya demokrasia nchini Kuandaa mihadhara ili jamii iweze kujadili masuala ya kiutawala na kisiasa yanayoendelea nchini.

20 Umuhimu wa Wananchi kushiriki katika Utawala: Kukosoa matumizi mabaya ya fedha na viongozi kwa misingi ya demokrasia Kushirikishwa kupanga kusimamia miradi ya maendeleo katika maeneo yao Kuunga mkono jitihada za serikali katika kuchochea ustawi na maendeleo kwa jamii Kuhoji utendaji wa serikali kuanzia ngazi ya mtaa, kata, kijiji, wilaya kuhakikisha uwazi, uadilifu na uwajibikaji.

21 2 MIFUMO YA TATHMINI Utangulizi wa mifumo ya kutathmini uwajibikaji na uadilifu : Katika kuzingatia uwepo wa uwazi, uwajibikaji na uadilifu, mifumo tofauti tofauti imetengenezwa na mashirika ya kijamii na serikali ili iweze kutumika katika jamii zetu na kuhakikisha ustawi wa jamii nzima. Uwazi unaweza kuwepo katika nyanja mbalimbali kama utendaji, fedha nk. Mifano ya mifumo hiyo ni; PETS (Public Expenditure Track System), PRA (Participatory Rural Appraisal- Ushirikishaji wa jamii ya vijijini katika tathmini).

22 Ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma-PETS Ni nini? Ni mfumo wa kutoa taarifa za mambo ya fedha kwa jinsi inayowezesha wahusika tofauti tofauti kujadili vyanzo na matumizi ya fedha. Huwawezesha walengwa kulinganisha fedha iliyoingia na matumizi yaliyofanyika

23 Repoti ya Mkaguzi mkuu wilaya ya Mvomero OUTSTANDING MATTERS 2006/ /08 Debtors 34,361, ,366, Creditors. 5,318, ,259, Retirements/Imprests 1,602, ,034, Salaries to DEAD & Retired 12,270, ,283, Stores 91,216, Credits Bank not in Cashbooks 3,124, Debits Bank not in Cashbooks 2,661, Cash in Transit 10,581, Uvouched Expenditures 335,558, Unsupported Expenditures 351,739, Improper Payments 1,866, Questionable Payments 1,520, ,552, (6.26% of 1,202,213, (13.o% of TOTAL OUTSTANDING Marcossy Budget) A.M/Policy Forum 2008 Budget) 23

24 Jumla ya Fedha zilizopotea au hazina vielelezo vya kutosha-2008/09 (Ripoti ya Mkaguzi Mkuu) Issue Amount Manunuzi bila kufata utaratibu 12,897,251,674 Mambo ambayo hayajashugulikiwa kutoka kaguzi zilizopita 95,784,249,724 Misamaha ya kodi 752,398,800,000 Matatizo kwenye malipo ya mishahara 3,078,128,143 Mambo yanayohusu mishahara ya wastafu 395,842,894 Manunuzi ya Magari 4,018,535,583 Halmashauri za serikali za mtaa (LGAs): Outstanding debtors, outstanding creditors, Revenue not collected, missing vouchers & receipt books, 20% un remitted to villages, payments made without vouchers etc, 203, 235,954,220 Total 1,075,585,066,604

25 Uchambuzi wa habari,mipango na bajeti ya wilaya, kata au Kijiji kwa Wananchi

Sauti Yangu Isikilizwe! Kuwasaidia watu wenye ulemavu wa akili kushiriki katika masuala ya kijamii na harakati za kisiasa.

Sauti Yangu Isikilizwe! Kuwasaidia watu wenye ulemavu wa akili kushiriki katika masuala ya kijamii na harakati za kisiasa. Sauti Yangu Isikilizwe! Kuwasaidia watu wenye ulemavu wa akili kushiriki katika masuala ya kijamii na harakati za kisiasa. Warsha kwa ajili ya Watetezi Binafsi (Watu Wenye Ulemavu wa Akili) na Familia

More information

ENERGY AND WATER UTILITIES REGULATORY AUTHORITY (EWURA)

ENERGY AND WATER UTILITIES REGULATORY AUTHORITY (EWURA) ENERGY AND WATER UTILITIES REGULATORY AUTHORITY (EWURA) In the matter of an Application by the BABATI URBAN WATER SUPPLY AND SEWERAGE AUTHORITY ( BAWASA ) For a Tariff Application, Submited on 22 nd May

More information

KANUNI ZA UONGOZI. d nnnnnnnnnnn.

KANUNI ZA UONGOZI. d nnnnnnnnnnn. MAADILI KANUNI ZA UONGOZI YA KITAIFA NA d nnnnnnnnnnn www.kippra.or.ke KUHUSU KIPPRA Maadili ya Kitaifa na Kanuni za Uongozi T aasisi ya Kenya ya Utafiti na Uchanganuzi wa Sera za Umma (KIPPRA) ni Shirika

More information

East African Currency...

East African Currency... East African Currency... This will definitely take you back to some old memories! Hope that you haven't forgotten your Swahili... From German to Gt. Britain gov'ts, check out the old E. A. currency from

More information

KUMBUKUMBU ZA MKUTANO NA MAANGALIZO

KUMBUKUMBU ZA MKUTANO NA MAANGALIZO MKUTANO KATI YA IDARA YA WANYAMAPORI, JUMUIA ZA KIJAMII ZILIZOIDHINISHWA (AA) ZA MAENEO YA HIFADHI ZA WANYAMAPORI ZA JUMUIA (WMA), WAWAKILISHI WA VIJIJI, WILAYA NA MAKAMPUNI YA KITALII JUU YA KANUNI ZA

More information

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA MAKAMU WA RAIS JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA MAKAMU WA RAIS HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA MAKAMU WA RAIS, WAKATI WA KUWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA 2015/16 Mhe.

More information

6.0 Hitimisho JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA. Ifahamu Sekta ya Biashara. TOLEO Na. 1, Desemba, 2012

6.0 Hitimisho JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA. Ifahamu Sekta ya Biashara. TOLEO Na. 1, Desemba, 2012 6.0 Hitimisho Wafanyabiashara wanahamasishwa kutumia fursa zitokanazo na Mikataba mbali mbali ya biashara ambayo Tanzania imesaini ili kujiletea mafanikio katika biashara zao na kukuza pato, kuinua uchumi

More information

Thursday, December 03,

Thursday, December 03, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MABADILIKO YA TABIANCHI: MIKAKATI YA UTEKELEZAJI NA VIPAUMBELELE VYA KITAIFA RICHARD MUYUNGI OFISI YA MAKAMU WA RAIS Thursday, December 03, 2009 1 YALIYOMO Utangulizi Mikakati

More information

HOTUBA YA WAZIRI WA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI, MHESHIMIWA SAMUEL J. SITTA (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA

HOTUBA YA WAZIRI WA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI, MHESHIMIWA SAMUEL J. SITTA (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA HOTUBA YA WAZIRI WA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI, MHESHIMIWA SAMUEL J. SITTA (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2011/2012 i Kama mjuavyo tarehe 1 Julai, 2010

More information

SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi TAARIFA YA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM

More information

How best to promote the Conservation of Zanzibar Stone Town. By Mahmoud Thabit Kombo -Chairman ZSTHS (JUHIMKO)

How best to promote the Conservation of Zanzibar Stone Town. By Mahmoud Thabit Kombo -Chairman ZSTHS (JUHIMKO) How best to promote the Conservation of Zanzibar Stone Town By Mahmoud Thabit Kombo -Chairman ZSTHS (JUHIMKO) The Meaning of World Heritage Site Definition by UNESCO A site of outstanding value for the

More information

Mwongozo wa Utekelezaji wa vikwazo vilivyowekewa Korea Kaskazini - Changamoto zinazokumba nchi barani Afrika

Mwongozo wa Utekelezaji wa vikwazo vilivyowekewa Korea Kaskazini - Changamoto zinazokumba nchi barani Afrika Mwongozo wa Utekelezaji wa vikwazo vilivyowekewa Korea Kaskazini - Changamoto zinazokumba nchi barani Afrika Imetayarishwa na Shirika la Kimataifa la Utiifu na Uwezo Septemba 2018 Washington, DC Marekani

More information

TUKIO (Event) WAHUSIKA (Participants) WASIMAMIZI ENEO(Coverage) MAHALI (Place)

TUKIO (Event) WAHUSIKA (Participants) WASIMAMIZI ENEO(Coverage) MAHALI (Place) TAREHE (Date) JAN FEB TUKIO (Event) WAHUSIKA (Participants) WASIMAMIZI ENEO(Coverage) MAHALI (Place) 1 3 Mapumziko ya Mwaka Mpya Watendakazi Watendakazi 06 Sabato ya Kufunga na Kuomba Wachungaji & Wazee

More information

Wanafunzi waliofukuzwa Ndanda kurejeshwa shuleni

Wanafunzi waliofukuzwa Ndanda kurejeshwa shuleni Sauti ya Waislamu ISSN 0856-3861 Na. 996 RABBIUL AWWAL 1433, IJUMAA JAN. 27 - FEB. 2, 2012 BEI TShs 500/=, Kshs 50/= Uhalali wa muungano kwanza katiba baadae Uk. 2 Wanafunzi waliofukuzwa Ndanda kurejeshwa

More information

WIZARA YA KAZI NA AJIRA TAARIFA KWA UMMA ORODHA YA MAKAMPUNI YALIYOIDHINISHWA NA SERIKALI KUENDESHA HUDUMA ZA WAKALA BINAFSI WA AJIRA NCHINI

WIZARA YA KAZI NA AJIRA TAARIFA KWA UMMA ORODHA YA MAKAMPUNI YALIYOIDHINISHWA NA SERIKALI KUENDESHA HUDUMA ZA WAKALA BINAFSI WA AJIRA NCHINI WIZARA YA KAZI NA AJIRA TAARIFA KWA UMMA ORODHA YA MAKAMPUNI YALIYOIDHINISHWA NA SERIKALI KUENDESHA HUDUMA ZA WAKALA BINAFSI WA AJIRA NCHINI 1. Tarehe 27/1/2014, Mhe. Waziri wa Kazi na Ajira, Bibi Gaudentia

More information

LEARNING BY EAR The Promised Land - A Story of African Migration to Europe. EPISODE TEN: Two Faces of Migration

LEARNING BY EAR The Promised Land - A Story of African Migration to Europe. EPISODE TEN: Two Faces of Migration LEARNING BY EAR 2011 The Promised Land - A Story of African Migration to Europe EPISODE TEN: Two Faces of Migration AUTHOR: Chrispin Mwakideu EDITORS: Katrin Ogunsade, Klaus Dahmann PROOFREADER: Pendo

More information

MAMLAKA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI (VETA)

MAMLAKA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI (VETA) MAMLAKA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI (VETA) TANGAZO LA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI DARAJA LA TATU (LEVEL III) VETA INAPENDA KUWATANGAZIA WATANZANIA WOTE KUWA MAFUNZO KWA DARAJA LA TATU YATAANZA

More information

DEFERRED LIST ON 14/8/2018

DEFERRED LIST ON 14/8/2018 DEFERRED LIST ON 14/8/2018 SN WP.NO Employer Applicant name Decision made 1 WPD/8480/16 M/s. Light in Africa Children's Home Mrs. KYNN Kaziah Elliott Awasilishe Lost Report ya vyeti 2 WPC/3216/18 M/s.

More information

Regional outlook Sub-Saharan Africa 24/11/2015. Share commodities in good exports. Share commodities in goods imports

Regional outlook Sub-Saharan Africa 24/11/2015. Share commodities in good exports. Share commodities in goods imports Table 1: Economic structure indicators Number of Inhabitants (m.) Size of the economy (in USD bn.) Size of the economy (% of world GDP) Share commodities in good exports Share commodities in goods imports

More information

IN MEMORIAM JOHN FRANCIS MARCHMANT MIDDLETON

IN MEMORIAM JOHN FRANCIS MARCHMANT MIDDLETON SWAHILI FORUM 17 (2010): 3-8 IN MEMORIAM JOHN FRANCIS MARCHMANT MIDDLETON It was with immense sadness and sense of loss that the students, colleagues and friends of John Middleton received the news of

More information

The Second Japan-Africa Business Forum TICAD and Business: Feedback from the Yokohama Action Plan to the Nairobi Declaration July 25, 2017

The Second Japan-Africa Business Forum TICAD and Business: Feedback from the Yokohama Action Plan to the Nairobi Declaration July 25, 2017 The Second Japan-Africa Business Forum TICAD and Business: Feedback from the Yokohama Action Plan to the Nairobi Declaration July 25, 207 Takeshi Osuga Ambassador, Assistant Minister, Director-General

More information

Southern Africa outpaces North Africa in governance performance

Southern Africa outpaces North Africa in governance performance Monday 5 th October 2009 Southern Africa outpaces North Africa in governance performance 2009 Ibrahim Index of African Governance shows that half of Africa s ten best performing countries are in Southern

More information

GALIL. 1 Liter INSECTICIDE. An insecticide for the control of thrips, aphids and whitefly nymphs on roses

GALIL. 1 Liter INSECTICIDE. An insecticide for the control of thrips, aphids and whitefly nymphs on roses GALIL An insecticide for the control of thrips, aphids and whitefly nymphs on roses Sumu ya kuua wadudu aina ya thrips, aphids na whitefly nymphs kwenye maua aina ya rosa SCAN FOR WEBSITE FLAMMABLE LIQUID

More information

A Snapshot of Sanitation and Open Defecation in Africa 2010 Update

A Snapshot of Sanitation and Open Defecation in Africa 2010 Update A Snapshot of Sanitation and Open Defecation in 10 Update A regional perspective based on data from the WHO/UNICEF Joint Monitoring Programme for Water Supply and Sanitation UNICEF/NYHQ10-1999/Asselin

More information

Projected Rural Population % (2030) and Rural Population Growth % pa ( )

Projected Rural Population % (2030) and Rural Population Growth % pa ( ) This presentation This presentation Rural Population Growth, 2013-30 (% pa) 4 3 2 Projected Rural Population % (2030) and Rural Population Growth % pa (2013-30) Majority urban; Rural population increasing

More information

Fostering healthcare Investments through PPPs. George Uduku Health Systems November 2017

Fostering healthcare Investments through PPPs. George Uduku Health Systems November 2017 Fostering healthcare Investments through PPPs George Uduku November 2017 Healthcare Industry : Infrastructure 1/2 There is a wide gap in healthcare infrastructure and a major shortage of healthcare workers

More information

Cambridge International Examinations Cambridge International Advanced Subsidiary and Advanced Level

Cambridge International Examinations Cambridge International Advanced Subsidiary and Advanced Level Cambridge International Examinations Cambridge International Advanced Subsidiary and Advanced Level *5153973671-I* TRAVEL AND TOURISM 9395/11 Paper 1 Core May/June 2016 INSERT 2 hours 30 minutes READ THESE

More information

Table A.LPG1 : TOTAL LPG CONSUMPTION (Best available Estimates)

Table A.LPG1 : TOTAL LPG CONSUMPTION (Best available Estimates) Table A.LPG1 : TOTAL LPG CONSUMPTION (Best available Estimates) 1000 MT 1 Burkina Faso 0.509 0.587 0.615 0.606 0.435 0.429 0.691 1.057 1.385 1.698 2.156 2.432 2.888 2 Cape Verde 4.058 4.268 4.988 5.259

More information

THE MOST AND LEAST CHILD-FRIENDLY GOVERNMENTS IN AFRICA

THE MOST AND LEAST CHILD-FRIENDLY GOVERNMENTS IN AFRICA The Most and Least Child-friendly Governments in Africa 5 THE MOST AND LEAST CHILD-FRIENDLY GOVERNMENTS IN AFRICA We must put the best interests of children at the heart of all political and business decision-making,

More information

Are$African$Governments$Ready$3$For$Global$Post$2015$Sustainable$Development$Goals?$And$The$Evolving$AU$Africa$2063$Development$Agenda?

Are$African$Governments$Ready$3$For$Global$Post$2015$Sustainable$Development$Goals?$And$The$Evolving$AU$Africa$2063$Development$Agenda? symbol sign for no TV television allowed - Google Search https://www.google.co.uk/search?q=colour+symbol+for+elect... Information & Analysis on Health, Population, Human & Social Development Are$African$Governments$Ready$$For$Global$Post$0$Sustainable$Development$Goals?$And$The$Evolving$AU$Africa$0$Development$Agenda?$

More information

Data Limitations. Index Choices

Data Limitations. Index Choices Section 3. Annexes The Index is part of a central database and system for collecting data on regional integration. It will capture additional data for indicators that are not part of the Index but that

More information

OFFICIAL DEVELOPMENT ASSISTANCE PROFILE. East Africa Region

OFFICIAL DEVELOPMENT ASSISTANCE PROFILE. East Africa Region OFFICIAL DEVELOPMENT ASSISTANCE PROFILE East Africa Region MARCH 2017 Introduc on This profile gives an analysis of the trends in ODA for the East African region ODA is classified as by the OECD/DAC as flows

More information

OILS AND FATS IN EAST AFRICA REGION

OILS AND FATS IN EAST AFRICA REGION OILS AND FATS IN EAST AFRICA REGION ASSESSMENT, TRENDS & OPPORTUNITIES R. Vijayraghavan, CEO East Coast Oils & Fats Limited Tanzania East Africa Africa is the world's second-largest and second-most-populous

More information

Ibrahim Index of African Governance SUB-CATEGORY INSIGHTS RULE OF LAW MO IBRAHIM FOUNDATION

Ibrahim Index of African Governance SUB-CATEGORY INSIGHTS RULE OF LAW MO IBRAHIM FOUNDATION 2015 Ibrahim Index of African Governance SUB-CATEGORY INSIGHTS RULE OF LAW MO IBRAHIM FOUNDATION Contents Rule of Law within the IIAG Rule of Law Key Findings Rule of Law Spotlight > Country and group

More information

Structuring national health systems to deliver better services

Structuring national health systems to deliver better services Structuring national health systems to deliver better services Peter Annear pannear@unimelb.edu.au Asia and the Pacific Policy Society Conference 2014 Confronting the Pacific s health challenges Crawford

More information

APC TV White Spaces and Africa. Russell Southwood, CEO, Balancing Act

APC TV White Spaces and Africa. Russell Southwood, CEO, Balancing Act APC TV White Spaces and Africa Russell Southwood, CEO, Balancing Act www.balancingact-africa.com @BalancingActAfr Overall Impact of the Transition Better use of frequencies currently used for analogue.

More information

Countries of the World QTR 3

Countries of the World QTR 3 As of December 2017 Countries of the World QTR 3 Website: Countries of the World. com https://www.countries-ofthe-world.com/countries-of-north-america.html Website: CIA.gov https://www.cia.gov/index.html

More information

The political economy of resource discoveries. Prof. Michael L. Ross UCLA Department of Political Science September 21, 2011

The political economy of resource discoveries. Prof. Michael L. Ross UCLA Department of Political Science September 21, 2011 The political economy of resource discoveries Prof. Michael L. Ross UCLA Department of Political Science September 21, 2011 Overview 1. Oil and mineral production is spreading to more low-income countries;

More information

Entrepreneurial Universities and Private Higher Education Institutions

Entrepreneurial Universities and Private Higher Education Institutions Entrepreneurial Universities and Private Higher Education Institutions Professor Moses Oketch University College London, Institute of Education m.oketch@ucl.ac.uk Presentation at International Seminar

More information

Millennium Development Goal 1: eradicate extreme poverty and hunger. International poverty line a Share of population below PPP $1.

Millennium Development Goal 1: eradicate extreme poverty and hunger. International poverty line a Share of population below PPP $1. 3.1 Millennium Development Goal 1: eradicate extreme poverty and hunger International poverty line a Share of population below PPP $1.25 a day Poverty gap ratio at PPP $1.25 a day Share of population below

More information

Germany s bilateral development cooperation with Sub-Saharan Africa: An Agenda for Reform

Germany s bilateral development cooperation with Sub-Saharan Africa: An Agenda for Reform Germany s bilateral development cooperation with Sub-Saharan Africa: An Agenda for Reform Limited share of development cooperation in the context of donors ODA net payments (incl. debt r elief ) f or SSA

More information

How much will the SDGs cost and can developing countries afford them? Chris Hoy, Independent Consultant and PhD Econ. Candidate

How much will the SDGs cost and can developing countries afford them? Chris Hoy, Independent Consultant and PhD Econ. Candidate How much will the SDGs cost and can developing countries afford them? Chris Hoy, Independent Consultant and PhD Econ. Candidate To implement the SDGs, national governments and aid donors need to know 1.

More information

Ensuring water and sanitation for all Where are we?

Ensuring water and sanitation for all Where are we? Ensuring water and sanitation for all Where are we? CABRI Peer Review Workshop (Anglophone) on WASH, June 2018 Cape Town Dr Nana Boateng, CABRI Goal 6: Ensure availability and sustainable management of

More information

Mauritius Freeport Authority

Mauritius Freeport Authority Mauritius Freeport Authority COMESA Common Market for Eastern and Southern Africa 2003 (Common Market for Eastern and Southern Africa) COMESA LIST OF 21 COMESA MEMBER COUNTRIES Angola D. R. of Congo Eritrea

More information

January. Martyrs of Independence in Democratic Republic of Congo Martyrs of the Colonial Repression Day in Angola

January. Martyrs of Independence in Democratic Republic of Congo Martyrs of the Colonial Repression Day in Angola January in Sudan New Year s Day 2 3 4 5 6 7 Anniversary of the 966 Coup d Etat in Burkina Faso Martyrs of Independence in Democratic Republic of Congo Martyrs of the Colonial Repression Day in Angola Orthodox

More information

Energy Poverty in Africa

Energy Poverty in Africa African Energy Commission (AFREC) Paper on Energy Poverty in Africa By Dr. Gilbert NZOBADILA Consultant Energy Policy- AFREC 1 1- Introduction: African background : The African Energy Commission (AFREC)

More information

Framework for Progressive Destination Competitiveness

Framework for Progressive Destination Competitiveness Sub-Saharan Africa Framework for Progressive Destination Competitiveness SSA Countries by Tourism Development Level and World Bank Income Ranking Tourism development level Pre-emerging Low income Central

More information

EASTERN AFROMONTANE 1,043,191 km 2

EASTERN AFROMONTANE 1,043,191 km 2 Egypt Saudi Arabia Oman EASTERN AFROMONTANE 1,043,191 km 2 Sudan Asmara Eritrea Yemen Djibouti Addis Ababa South Sudan Ethiopia BIODIVERSITY TARGET 2020 TARGET: 17% protected Democratic Republic of the

More information

Poverty eradication means doubling the lowest household incomes globally in just 15 years after they have stagnated for the last years

Poverty eradication means doubling the lowest household incomes globally in just 15 years after they have stagnated for the last years $ per person per day (2005 PPP) 1.4 Estimated Global Consumption Floor, 1981-2011, and 2030 Target 1.2 1 0.8 0.6 0.4 0.2 Pre- MDGs MDGs SDGs $1.25-a-day basis $1.00-a-day basis Poverty eradication means

More information

The A Z of African Countries Notebooking Pages with Backline Maps. Preface

The A Z of African Countries Notebooking Pages with Backline Maps. Preface Preface This book has been created as the basis for unit studies on any (or all) African countries. Whilst each country has available a separate and comprehensive Unit Study, some educators prefer to start

More information

Case 2:16-cv RGK-JC Document 45 Filed 03/21/16 Page 2 of 3 Page ID #:2363

Case 2:16-cv RGK-JC Document 45 Filed 03/21/16 Page 2 of 3 Page ID #:2363 Case 2:16-cv-00862-RGK-JC Document 45 Filed 03/21/16 Page 2 of 3 Page ID #:2363 Case 2:16-cv-00862-RGK-JC Document 45-1 Filed 03/21/16 Page 1 of 7 Page ID #:2365 EXHIBIT 1 Case 2:16-cv-00862-RGK-JC Document

More information

IDA Country Allocations for FY15

IDA Country Allocations for FY15 Public Disclosure Authorized Public Disclosure Authorized Public Disclosure Authorized IDA Allocations for FY15 1. The IDA17 replenishment arrangements provide that IDA country allocations be made available

More information

Bridging the Gap: Benchmarking Utilities in Africa

Bridging the Gap: Benchmarking Utilities in Africa Bridging the Gap: Benchmarking Utilities in Africa Rosemary Rop World Water Week Stockholm, Focus Africa: August 23 rd 2011 Water and Sanitation Program Global Status: Water and Sanitation Access Gaps

More information

Economic Partnership Agreements (EPA) Lucia BALOGOVA European Commission Directorate-General Trade

Economic Partnership Agreements (EPA) Lucia BALOGOVA European Commission Directorate-General Trade Economic Partnership Agreements (EPA) Lucia BALOGOVA European Commission Directorate-General Trade 1 Overview Background Ambitions and objectives Challenges Key development aspects EPA scope Alternatives

More information

ECONOMIC PARTNERSHIP AGREEMENTS. Overview of State of Play

ECONOMIC PARTNERSHIP AGREEMENTS. Overview of State of Play ECONOMIC PARTNERSHIP AGREEMENTS Overview of State of Play Following the expiry of the Cotonou trade regime and the WTO waiver which covered it on 31 December 2007, trade disruption for the ACP was minimised

More information

List of medicines for which protection against trade diversion is granted under. Regulation 953/2003

List of medicines for which protection against trade diversion is granted under. Regulation 953/2003 List of medicines for which protection against trade diversion is granted under Regulation 953/2003 List of medicines EPIVIR ORAL SOLUTION 10 mg/ml x 240 ml... 2 TRIZIVIR 750 mg x 60... 3 EPIVIR 150 mg

More information

CASM (Africa) and the African Mining Partnership. Jon Hobbs - CASM (Global) Chairman Linus Adie - CASM (Africa) Chairman

CASM (Africa) and the African Mining Partnership. Jon Hobbs - CASM (Global) Chairman Linus Adie - CASM (Africa) Chairman CASM (Africa) and the African Mining Partnership AMP - Ministerial Meeting 12 August 2005, Africa Hall, ECA, Addis Ababa Jon Hobbs - CASM (Global) Chairman Linus Adie - CASM (Africa) Chairman Artisanal

More information

IMPERIAL LOGISTICS AFRICA DISTRIBUTORSHIPS

IMPERIAL LOGISTICS AFRICA DISTRIBUTORSHIPS IMPERIAL LOGISTICS AFRICA DISTRIBUTORSHIPS Africa RTM Capabilities Updated version January 2014 1 Imperial Logistics Current African Footprint Cape Verde Wester n Sahara Mauritania Senegal The Gambia-

More information

FAMILY PLANNING TRENDS IN SUB SAHARAN AFRICA:

FAMILY PLANNING TRENDS IN SUB SAHARAN AFRICA: FAMILY PLANNING TRENDS IN SUB SAHARAN AFRICA: PROGRESS, PROSPECTS AND LESSONS LEARNED Mona Sharan, Saifuddin Ahmed, John May & Agnes Soucat Background : Sub Saharan Africa Highest TFR (5.1) compared to

More information

IDA Country Allocations for FY16

IDA Country Allocations for FY16 Public Disclosure Authorized Public Disclosure Authorized Public Disclosure Authorized IDA Allocations for FY16 1. The IDA17 replenishment arrangements provide that IDA country allocations be made available

More information

AFSEC Workshop Johannesburg 27 March 2017

AFSEC Workshop Johannesburg 27 March 2017 Evah Oduor IEC-AFRC Director AFSEC Workshop Johannesburg 27 March 2017 INTERNATIONAL ELECTROTECHNICAL COMMISSION About the IEC Africa Quality Infrastructure IEC-AFRC Mission Recommendations Conclusion

More information

SUB-SAHARAN AFRICA (2): POPULATION AND SETTLEMENT GEOGRAPHY

SUB-SAHARAN AFRICA (2): POPULATION AND SETTLEMENT GEOGRAPHY SUB-SAHARAN AFRICA (2): POPULATION AND SETTLEMENT GEOGRAPHY 1. Introduction 2. Demographics: population growth and AIDS 3. Rural settlement patterns 4. Urban structures 5. Globalization and Africa: the

More information

Lesson 34a: Environment

Lesson 34a: Environment bahari / bahari ziwa / maziwa kisiwa / visiwa pwani / pwani bara / bara mto / mito mlima / milima mbingu / mbingu mti / miti nyasi / nyasi ua / maua tawi / matawi jani / majani mchanga udongo msitu / misitu;

More information

THE AFRICAN DEVELOPMENT BANK GROUP. At the centre of Africa s transformation

THE AFRICAN DEVELOPMENT BANK GROUP. At the centre of Africa s transformation THE AFRICAN DEVELOPMENT BANK GROUP At the centre of Africa s transformation African Development Bank Group At the centre of Africa s transformation The African Development Bank Group is a multilateral

More information

COMESA VACANCIES OFFICE OF THE SECRETARY GENERAL

COMESA VACANCIES OFFICE OF THE SECRETARY GENERAL COMESA VACANCIES OFFICE OF THE SECRETARY GENERAL VACANCY NOTICE I. EXECUTIVE SECRETARY OF COMESA CLEARING HOUSE II. DIRECTOR OF COMESA MONETARY INSTITUTE Background The Common Market for Eastern and Southern

More information

Air Transport: An Engine to Prosperity

Air Transport: An Engine to Prosperity Air Transport: An Engine to Prosperity Mark Smyth Senior Economist, IATA To represent, lead and serve the airline industry Africa in a Global Economic Context Relatively low shares of GDP, trade and air

More information

JABALI AFRICAN ACROBATS TEACHER'S NOTES

JABALI AFRICAN ACROBATS TEACHER'S NOTES JABALI AFRICAN ACROBATS TEACHER'S NOTES Brought to you by Class Act Performing Artists & Speakers; 800-808-0917 JABALI ACROBATS This incredible Kenyan troupe combines Chinese and African traditions of

More information

ATM Deficiencies. Algeria AFI/7 Rec.5/21 FIR Algiers Non-implementation. Angola. Benin. Botswana. Burkina Faso. Burundi. Cameroon

ATM Deficiencies. Algeria AFI/7 Rec.5/21 FIR Algiers Non-implementation. Angola. Benin. Botswana. Burkina Faso. Burundi. Cameroon ATM Deficiencies Algeria AFI/7 Rec.5/21 FIR Algiers Non- of ATC in the upper airspace in the South area (prevision of in 2006). A 31/12/09 U Angola APIRG/13 Conclusion 13/43 Luanda FIR Non-provision of

More information

Regional Investment rules in Eastern and Southern Africa

Regional Investment rules in Eastern and Southern Africa Regional Investment rules in Eastern and Southern Africa : COMESA Common Investment Area (CCIA) towards the Tripartite COMESA-EAC-SADC and Pan African investment arrangements London, 14 September 2012

More information

Annex III: Statistics

Annex III: Statistics Annex III: Statistics Table A.3.1 Physical characteristics of Arab countries Country Area, 2011 (thousand square kilometres) Length of coast, 2005 (kilometres) Rainfall, 2002 (millimetres per year) Total

More information

THE AFRICAN DEVELOPMENT BANK GROUP. At the centre of Africa s transformation

THE AFRICAN DEVELOPMENT BANK GROUP. At the centre of Africa s transformation THE AFRICAN DEVELOPMENT BANK GROUP At the centre of Africa s transformation African Development Bank Group The African Development Bank Group is a multilateral development finance institution. It was established

More information

CJTF-HOA Mission Brief PSA 2008

CJTF-HOA Mission Brief PSA 2008 CJTF-HOA Mission Brief APR 2008 PSA 2008 Overall Classification: HOA Focus is Phase Zero Phase 0 Shape Phase 1-5 Prevent Promote Protect Prevail 1.Deter 2.Seize 3.Dominate 4.Stabilize 5.Enable Argentina

More information

Structure. Introduction

Structure. Introduction 1 Introduction Structure Demographic Dynamics in Africa Determinants of the Demographic Transition Human Development Payoffs Jobs Payoffs Economic Growth in Africa Policies to Speed up the Demographic

More information

AFRICA EASTERN AFRICA COMORO ISLANDS 1978-PRESENT. BURUNDI 1962-PRESENT Prior to 1962 see Rwanda

AFRICA EASTERN AFRICA COMORO ISLANDS 1978-PRESENT. BURUNDI 1962-PRESENT Prior to 1962 see Rwanda EASTERN BURUNDI 1962-PRESENT Prior to 1962 see Rwanda COMORO ISLANDS 1978-PRESENT FRENCH TERRITORY 1950-1978 For period 1912-1950 see Madagascar and Comoro Islands Precedent Countries- Continued ANJOUAN

More information

Market Brief on Ethiopia

Market Brief on Ethiopia Market Brief on Ethiopia July 2017 Location Facts and Figures Ethiopia, a landlocked, mountainous country in north-eastern Africa in the Horn of Africa. It is bordered by Djibouti, Eritrea, Kenya, Somalia,

More information

Africa 2063 The Africa We Want D R. R E N U M O D I C E N T E R F O R A F R I C A N S T U D I E S U N I V E R S I T Y O F M U M BA I

Africa 2063 The Africa We Want D R. R E N U M O D I C E N T E R F O R A F R I C A N S T U D I E S U N I V E R S I T Y O F M U M BA I Africa 2063 The Africa We Want D R. R E N U M O D I C E N T E R F O R A F R I C A N S T U D I E S U N I V E R S I T Y O F M U M BA I The Future We Want: Agenda 2063 The African Union (AU) on its 50 th

More information

Mode of Transport, Country of Consignment and Customs Procedure Codes (CPC) Implementation in COMESA Member States

Mode of Transport, Country of Consignment and Customs Procedure Codes (CPC) Implementation in COMESA Member States Mode of Transport, Country of Consignment and Customs Procedure Codes (CPC) Implementation in COMESA Member States Regional Seminar on international Trade Statistics 12 th 16 th May 2014 Addis Ababa -

More information

2017 ACCPA Compliance List

2017 ACCPA Compliance List Most Compl iance-focused Banks in Af rica info@acc-pa.org www.acc-pa.org About ACCPA The Association of Certified Compliance Professionals in Africa (ACCPA) is the continental body for compliance professionals

More information

IPAR 4 TH ANNUAL RESEARCH CONFERENCE Kigali 28 th -29 th January Prof Herman Musahara OSSREA

IPAR 4 TH ANNUAL RESEARCH CONFERENCE Kigali 28 th -29 th January Prof Herman Musahara OSSREA IPAR 4 TH ANNUAL RESEARCH CONFERENCE Kigali 28 th -29 th January 2015 MDGs, Inclusive and Sustainable Development today and after 2015. Reflections on Eastern and Southern African countries and role of

More information

2013 Ibrahim Index of African Governance SUMMARY

2013 Ibrahim Index of African Governance SUMMARY 2013 Ibrahim Index of African Governance SUMMARY 2013 Ibrahim Index of African Governance: Summary published October 2013 copyright 2013 Mo Ibrahim Foundation The Mo Ibrahim Foundation is committed to

More information

COMESA EXPERIENCES ON STI

COMESA EXPERIENCES ON STI COMESA EXPERIENCES ON STI Presentation at the EASTECO First Regional Stakeholder Meeting By Benedict Musengele Senior Research Fellow, COMESA Kigali, Rwanda www.comesa.int 2 Outline Introduction COMESA

More information

Training'in'pharmacovigilance'in'Africa' [ISoP'2017'Presentation.'Liverpool'2017>10>16]'

Training'in'pharmacovigilance'in'Africa' [ISoP'2017'Presentation.'Liverpool'2017>10>16]' Training'in'pharmacovigilance'in'Africa' [ISoP'2017'Presentation.'Liverpool'2017>10>16]' Alex'Dodoo' Scientific'Advisor,'African'Collaborating'Centre'(ACC)'for' Pharmacovigilance' Director>General,'Ghana'Standards'Authority'

More information

WORLD PRESS FREEDOM INDEX 2012

WORLD PRESS FREEDOM INDEX 2012 WORLD PRESS FREEDOM INDEX 2012 1 Finland -10,00 = - Norway -10,00 = 3 Estonia -9,00 - Netherlands -9,00 5 Austria -8,00 6 Iceland -7,00 - Luxembourg -7,00 8 Switzerland -6,20 9 Cape Verde -6,00 10 Canada

More information

HCPI COMESA Monthly News Release

HCPI COMESA Monthly News Release HCPI COMESA Monthly News Release Is sue No. 84 March 2018 Common Market for Eastern and Southern Africa (COMESA) Macroeconomic Indicators COMESA region annual inflation rate stood at 19.4% in March 2018

More information

WORLD HEALTH ORGANIZATION Assessed contributions overview for all Member States As at 31 May assessment (A) 31-Dec-17 (B)

WORLD HEALTH ORGANIZATION Assessed contributions overview for all Member States As at 31 May assessment (A) 31-Dec-17 (B) WORLD HEALTH ORGANIZATION Assessed contributions overview for all Member States As at 31 May 2018 and Associate Prior financial periods collection less rescheduled Total outstanding Balance for prior years

More information

WORLD HEALTH ORGANIZATION Assessed contributions overview for all Member States As at 31 December 2017

WORLD HEALTH ORGANIZATION Assessed contributions overview for all Member States As at 31 December 2017 WORLD HEALTH ORGANIZATION Assessed contributions overview for all Member States As at 31 December 2017 and Associate Biennial Assessment Prior financial periods collection less rescheduled Total outstanding

More information

Africa the potential for growth

Africa the potential for growth Africa the potential for growth Ian Taylor President & CEO, Vitol March 2015 The oil price a long term view 2010 to date - $94 2000s - $49.6 1980s - $25.8 1990s - $18.3 1970s $10.5 1 Q1-14 Q2-14 Q3-14

More information

Appendix D2 amendments 27 November 2018:

Appendix D2 amendments 27 November 2018: Appendix D2 amendments 27 November 2018: Deleted from the list of Countries and Territories Azerbaijan Burkina Faso Cuba Kazakhstan Malawi Moldova West Bank Gaza Zambia Added to the List of Countries and

More information

Membership in the Security Council by year ( )

Membership in the Security Council by year ( ) Membership in the Security Council by year (1946-2015) 2015 15 Angola Chad Lithuania Malaysia 2014 Chad Lithuania Luxembourg Republic of Korea Rwanda 2013 15 Azerbaijan Guatemala Luxembourg Republic of

More information

Secretariat. United Nations ST/ADM/SER.B/755. Assessment of Member States contributions to the United Nations regular budget for the year 2009

Secretariat. United Nations ST/ADM/SER.B/755. Assessment of Member States contributions to the United Nations regular budget for the year 2009 United Nations Secretariat Distr.: General 24 December 2008 Original: English Assessment of s contributions to the United Nations regular budget for the year 2009 Contents I. Basis of of s contributions

More information

JICA s activity in the Northern Economic Corridor. 7 Dec 2015, Nairobi

JICA s activity in the Northern Economic Corridor. 7 Dec 2015, Nairobi JICA s activity in the Northern Economic Corridor 7 Dec 2015, Nairobi Contents 1. Japan s commitment on corridor development 2. On-going support on corridor development 3. JICA s activity on Northern Economic

More information

"Tourism and Sustainable Development: Lessons from the Caribbean Experience for Sub-Saharan Africa"

Tourism and Sustainable Development: Lessons from the Caribbean Experience for Sub-Saharan Africa Florida International University FIU Digital Commons African & African Diaspora Studies Program Faculty Scholarly Presentations African and African Diaspora Studies 8-23-2012 "Tourism and Sustainable Development:

More information

AGRICULTURE THE BIG PICTURE

AGRICULTURE THE BIG PICTURE AGRICULTURE THE BIG PICTURE AEASA 2015 (30 Sept 2015), Parys North West NAMC and Tralac Collaboration By: B Nyhodo, E Williams and R Sandrey Presentation outline Introduction Africa Africa share of world

More information

TABLE OF CONTENTS COUNTRY FOCUS: ALGERIA

TABLE OF CONTENTS COUNTRY FOCUS: ALGERIA Africa Statistics Flash Selected Socio-Economic Indicators on Africa May 218 TABLE OF CONTENTS COUNTRY FOCUS: ALGERIA ---------------------------------------------------------------------------------------------

More information

Measuring Closer Economic Cooperation in Indian Ocean Rim: Impressions from the Fields

Measuring Closer Economic Cooperation in Indian Ocean Rim: Impressions from the Fields Latest Version Measuring Closer Economic Cooperation in Indian Ocean Rim: Impressions from the Fields Dr. Siswo Pramono, LL.M. Director General / Head of Policy Analysis and Development Agency Ministry

More information

Trade Blocs, Development Hotspots and Changing Trade Patterns. Breakbulk Africa, 18 th February 2015

Trade Blocs, Development Hotspots and Changing Trade Patterns. Breakbulk Africa, 18 th February 2015 Trade Blocs, Development Hotspots and Changing Trade Patterns Breakbulk Africa, 18 th February 2015 Background Multiplicity of Trade Blocs in ever convergent economic spaces; Need for harmonisation of

More information

Challenges and Opportunities for Nature- Based Tourism By Dr Geoffrey Manyara

Challenges and Opportunities for Nature- Based Tourism By Dr Geoffrey Manyara Challenges and Opportunities for Nature- Based Tourism By Dr Geoffrey Manyara PRESENTATION HIGHLIGHTS Introduction Methodology Historical Perspective of Nature-Based tourism development in Eastern Africa

More information

E-Government Development Index (EGDI)

E-Government Development Index (EGDI) E-Government Development Index (EGDI) 171 Afghanistan Low 0.2313 0.3043 0.1066 0.2830 82 Albania High 0.5331 0.5942 0.3530 0.6520 150 Algeria Medium 0.2999 0.0652 0.1934 0.6412 55 Andorra High 0.6302 0.5072

More information

STATUS OF THE COMESA SEED HARMONISATION PROGRAMME (COMSHIP) John Mukuka, COMESA Seed Development Expert. June, 2018

STATUS OF THE COMESA SEED HARMONISATION PROGRAMME (COMSHIP) John Mukuka, COMESA Seed Development Expert. June, 2018 STATUS OF THE COMESA SEED HARMONISATION PROGRAMME (COMSHIP) John Mukuka, COMESA Seed Development Expert. June, 2018 COMESA COVERAGE Size: 11.6 Million sq. km Population: 510 million (2018) GDP: $950 billion

More information

International Civil Aviation Organization African Flight Procedure Programme

International Civil Aviation Organization African Flight Procedure Programme International Civil Aviation Organization African Flight Procedure Programme REPORT OF THE GLOBAL ACTIVITIES CONDUCTED SINCE JUNE 2014 1. INTRODUCTION 1.1 The objective of this paper is to report on the

More information