Thursday, December 03,

Similar documents
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

6.0 Hitimisho JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA. Ifahamu Sekta ya Biashara. TOLEO Na. 1, Desemba, 2012

HOTUBA YA WAZIRI WA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI, MHESHIMIWA SAMUEL J. SITTA (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA

Sauti Yangu Isikilizwe! Kuwasaidia watu wenye ulemavu wa akili kushiriki katika masuala ya kijamii na harakati za kisiasa.

ENERGY AND WATER UTILITIES REGULATORY AUTHORITY (EWURA)

East African Currency...

Welcome Karibuni. By Moses Kulaba, Agenda Participation Tanzania Corruption Tracking System /

SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

KUMBUKUMBU ZA MKUTANO NA MAANGALIZO

KANUNI ZA UONGOZI. d nnnnnnnnnnn.

TUKIO (Event) WAHUSIKA (Participants) WASIMAMIZI ENEO(Coverage) MAHALI (Place)

IN MEMORIAM JOHN FRANCIS MARCHMANT MIDDLETON

How best to promote the Conservation of Zanzibar Stone Town. By Mahmoud Thabit Kombo -Chairman ZSTHS (JUHIMKO)

Mwongozo wa Utekelezaji wa vikwazo vilivyowekewa Korea Kaskazini - Changamoto zinazokumba nchi barani Afrika

MAMLAKA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI (VETA)

Lesson 34a: Environment

WIZARA YA KAZI NA AJIRA TAARIFA KWA UMMA ORODHA YA MAKAMPUNI YALIYOIDHINISHWA NA SERIKALI KUENDESHA HUDUMA ZA WAKALA BINAFSI WA AJIRA NCHINI

Wanafunzi waliofukuzwa Ndanda kurejeshwa shuleni

LEARNING BY EAR The Promised Land - A Story of African Migration to Europe. EPISODE TEN: Two Faces of Migration

GALIL. 1 Liter INSECTICIDE. An insecticide for the control of thrips, aphids and whitefly nymphs on roses

DEFERRED LIST ON 14/8/2018

Recent Developments on International Aviation and Climate Change

Revised as of 8 February 2018 Tentative Roadmap for the UN Environment Programme Governing Bodies. Assembly

Cambodian Climate Change Alliance Trust Fund

Flexible and Effective measures - Market Base Approach -

Impact of Environmental Taxes & Charges on Aviation

Agenda Item 4.6: Roadmap for the UN Environment Programme Governing Bodies

Where are the poor: Region and District Poverty Estimates for Tanzania, 2012

Institutions of Climate Change

- Assessment and lessons learnt from the third session of the UN Environment Assembly

National MAB Report. 1 Efforts towards implementation of Madrid Action Plan

Framework for a Plan of Action for Aviation Infrastructure Development in Africa Draft Framework for a Plan of Action for African States ( )

Ministry of environment, mining and spatial planning activities and methane action plan of republic of Serbia Dragana Mehandžić Ministry of

Climate Change and Trade: The EU Aviation Directive. Dr. Joshua Meltzer Fellow, Brookings Institution

AN OVERVIEW OF TOURISM DEVELOPMENT IN THE SOUTHERN CIRCUIT

GCRMN Number of sites regularly monitored

TANZANIA FOOD AND NUTRITION CENTRE

AFCAC Presentation ENVIRONMENTAL ISSUES IN AFRICA. Boubacar Djibo Secretary General of AFCAC. EU-Africa Aviation Summit (Windhoek, 3 4 April 2009)

AFI COMPREHENSIVE REGIONAL IMPLEMENTATION PLAN FOR AVIATION SECURITY AND FACILITATION IN AFRICA (AFI SECFAL PLAN)

ANNUAL EVENTS CALENDAR Print run: 5 000

First Meeting Of The Conference Of The Parties To The Minamata Convention On Mercury. Interim Secretariat of the Minamata Convention on Mercury

COSPAR 2018 Status update to the SSB. Gregg Vane 2 November 2016

(Presented by IATA) SUMMARY S

4,834, , Dar es Salaam Safety Nets Chama cha Utafiti wa Magonjwa Sugu na UKIMWI kwa Tiba Asilia Tanzania,

Health in Rio+20: WHO Co-sponsored Side Events

Information for Participants

INDICATIVE CALENDAR OF ASEAN MEETINGS UNDER ASOEN AND COM 2018 (as of 20 March 2018)

UN Climate Change Conference 2 14 December 2018 OVERVIEW SCHEDULE

Daily Schedule. Ad Hoc Working Group on Long-term Cooperative Action under the Convention (AWGLCA) (Open meeting)

FIRST QUARTER SALARY RELEASES FOR THE YEAR 2015/16

GROUP ON INTERNATIONAL AVIATION AND CLIMATE CHANGE (GIACC)

INDICATIVE CALENDAR OF ASEAN MEETINGS UNDER ASOEN AND COM 2018 (as of 26 April 2018)

5 th UNESCO SUB-REGIONAL WORKSHOP ON THE SERIAL WORLD HERITAGE NOMINATION OF THE SILK ROADS

DOWNLOAD OR READ : TOURISM BIODIVERSITY AND SUSTAINABLE DEVELOPMENT 6 VOLS SET PDF EBOOK EPUB MOBI

When greeting someone older than you in Swahili, you say

HOTELS AND LODGES IN TANGA REGION 2017 TANZANIA

IUCN in Europe: Programme priorities Southeast Europe Members meeting Tirana, 6 March 2013

FRAMEWORK CONVENTION ON CLIMATE CHANGE - Secretariat CONVENTION - CADRE SUR LES CHANGEMENTS CLIMATIQUES - Secrétariat

Forest Carbon Partnership Facility

IAPSC CONFERENCE 4 DECEMBER 2003 EU EMISSIONS TRADING SCHEME

JABALI AFRICAN ACROBATS TEACHER'S NOTES

09:00 10:30 OPENING Opening ceremony of the Air Transport meeting on Promoting Connectivity for Sustainable Air Transport Development.

operation Programme of ICAO

Tentative Program. ** For Minister level **

STRONG High Seas Project

First Meeting of Advisory Committee

Maximizing Sustainable Tourism impact for inclusive and low carbon growth Colombo, 7 October Zoritsa Urosevic World Tourism Organization

Overview of the Aviation System Block Upgrades (ASBUs) Concept and PBN

Urban Climate Change Research Network and ARC3.2

United Nations Environment Programme

Eighth Session of Conference of Parties to United Nations Framework Convention on Climate Change

REMOTELY PILOTED AIRCRAFT SYSTEMS SYMPOSIUM March RPAS Panel. Leslie Cary, RPAS Programme Manager, ICAO Randy Willis, RPAS Panel Chairman

(Geneva, Switzerland, 2-3 October 2018) The sustainability of international civil aviation is a key priority for ICAO and its Member States today.

BABIA GÓRA DECLARATION ON SUSTAINABLE TOURISM DEVELOPMENT IN MOUNTAIN AREAS

TRAINER TRAINING IN TANZANIA Contextualisation, Benefits and Pitfalls of Offshore Delivery. Marc Ratcliffe. Our Safari. Habari! Jambo Sana!

Briefing of CEM8 and MI-2 CEM8 MI-2

SEA for oil and gas development in Southern Africa is it effective? Bryony Walmsley Southern African Institute for Environmental Assessment

ARIPO s s EXPERIENCE ON THE PROTECTION OF TRADITIONAL KNOWLEDGE, FOLKLORE AND GENETIC RESOURCES

DRAFT TEN August 23 rd, Climate Change Impacts On The Alpine: The Future of Our Mountains

Transboundary Cooperation for Hazard Prevention in the Kura-river Basin

No flight plan. How the International Civil Aviation Organisation (ICAO) has blocked progress on climate change for a decade

UNESCO s work on a Global Recognition Convention to Bridge the Regional Recognition Conventions

IFHE RIO 2017 International Seminar Hospital Environment for Patient and Worker Safety

Regional commitments under the United Nations Framework Convention on Climate Change (Caribbean)

Briefing: ICAO Council discussion on including aviation in the EU-ETS

Terms of Reference (ToR) for a Short-Term assignment

FACTSHEET & THE VALUE OF *BUSINESS EVENTS TO SARAWAK

RESEARCH REPORT. Globalization: Creating a Common Language. Sustainability Committee. Promoting ecotourism as a tool for sustainable environment

ICAO Technical Cooperation Progress and Future Potential Program on Environmental Sustainable Air Transportation in Indonesia

Country Report of the Democratic People s Republic of Korea

Ms Hlob sile Sikhosana Meteorological Officer (Climate Change) Swaziland Meteorological Services September 2010

ABBREVIATIONS... ii MESSAGE FROM THE MINISTER FOR NATURAL RESOURCES AND TOURISM Investment opportunities in the National parks...

Maputo improving resilience by implementing Cities and Climate Change Initiative. By: Raul Chilaule (Head of the Environmental Department of MMC)

POPULATION DISTRIBUTION AND DENSITY IN TANZANIA: EXPERIENCES FROM 2002 POPULATION AND HOUSING CENSUS

SPECIAL ADAPTATION TO CLIMATE CHANGE (SPACC) PROJECT - CARIBBEAN

VOCATIONAL EDUCATION AND TRAINING AUTHORITY PROCEDURESS FOR JOINING VOCATIONAL TRAINING CENTRES FOR TRAINING

COMMUNICATION AND AWARENESS-RAISING STRATEGY

World Tourism Organization. General Assembly Nineteenth session Gyeongju, Republic of Korea, 8-14 October 2011 Provisional agenda item 10(g)

EU-Africa Aviation Conference Windhoek, Namibia 2-3 April 2009

First Meeting Of The Conference Of The Parties To The Minamata Convention On Mercury

Transcription:

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MABADILIKO YA TABIANCHI: MIKAKATI YA UTEKELEZAJI NA VIPAUMBELELE VYA KITAIFA RICHARD MUYUNGI OFISI YA MAKAMU WA RAIS Thursday, December 03, 2009 1

YALIYOMO Utangulizi Mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi Tanzania Mikakati, programu/mipango, miradi na shughuli zinazotekelezwa Majadiliano kuelekea k Copenhagen Changamoto Hitimisho/mapendekezo Thursday, December 03, 2009 2

Utangulizi kwa nini kuwepo na hofu kuhusu mabadiliko ya Tabianchi Kuongezeka kwa uzalishaji wa gesijoto na uhusiano wa karibu baina yake na kuongezeka kwa joto la dunia (kipimo cha 217 ppm mnano karne ya 19 mpaka 380ppm leo hii) na kuongezeka kwa jotoridi kwa nyuzi joto 0.74 oc na kuongezeka kwa kina cha bahari kwa 17cm katika kipindi cha miaka 100 iliyopita Athari zilizoanza kuonekana sasa na baadaye zinazidi kutisha. Nchi maskini zinaathirika azaidi ad kutokana na uwezo mdogo wa kuhimili athari hizo Thursday, December 03, 2009

I: Utangulizi: Juhudi za kimtaifa za kukabiliana k na mabadiliko ya Tabianchi 1988 World Meteorological Organization (WMO) and United Nations Environment Programme (UNEP) establish the Intergovernmental Panel on Climate Change (IPCC). The UN General Assembly takes up climate change for the first time. 1990 IPCC s First Assessment Report is published. It recommends the launch of negotiations on a global climate change agreement. The UN General Assembly opens negotiations on a framework convention on climate change. 1992 The United Nations Framework Convention on Climate Change (UNFCCC) is adopted. 1992 The Convention is opened for signature at the Earth Summit in Rio de Janeiro, Brazil. 1994 The Convention enters into force. 1995 COP 1 launches a new round of negotiations on a protocol or other legal instrument. The Berlin mandate 1997 COP 3 adopts the Kyoto Protocol to the UNFCCC in Kyoto, Japan 2001 COP7 adopts modalities and rules of the Kyoto Protocol. The first CDM Executive Board meeting 2005: Entry into force of the Kyoto Protocol 2007: Bali Action Plan: New Climate Change regime process 2009: December, New climate change regime adopted

Mikakati ya kitaifa ya kukabiliana na mabadiliko ya tabinachi 1990: Idara ya Mazingira ilianzishwa chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii- kuratibu mchakato wa Rio Kitaifa 1992: Mkataba wa Umoja wa Taifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (UNFCCC) ulisainiwa mara baada ya mkutano wa wa UNCED, Juni, 1992. Taathmini mbalimbali kuhusu tishio la mabadiliko ya tabianchi, vyanzo gesijoto vilifanyika chini ya ufadhili wa Serikali ya Marekani 1995: Idara ya Mazingira ilihamishiwa chini ya VPO. Mabadiliko ya Tabianchi ilibainishwa kama kipaumbele katika maeneo ya kazi za VPO. 1996: Aprili, Tanzania iliridhia Mkataba wa UNFCCC. 1997 : Tanzania ilikuwa Mwenyekiti wa G77 na China wakati wa majadiliano ya Mkataba Mdogo wa Kyoto. Tanzania ilipitisha Sera ya Taifa ya Mazingira 1998: Mchakato wa kuandaa Sheria ya Mazingira ulianza EMA, 2005. 2000: Warsha ya Kwanza ya GEF. Adoption of the Institutional arrangements for Environmental management in Tanzania. Climate change and other MEAs a responsibility of the VPO DOE 2001 2004: Sheria ya Usimamizi wa Mazingira-EMA, 2005. Kifungu cha 75 kinabainisha hatua zinazohitajika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Mwongozo wa Miradi ya CDM uliandaliwa. Tanzania ilikuwa mwenyekiti wa LDCs chi ya majadiliano ya UNFCCC (2002-2004). Maandalizi ya Mpanga wa Taifa wa Kuhimili Mabadiliko ya tabianchi NAPA. 2005 hadi leo: Sheria ya Usimamizi wa Mazingira -EMA ilianza kutekelezwa (operationalization of Art. 75) ; NCSA (on post Rio Conventions); Maandalizi ya NAPA yalikamilika; Review of the CDM Investor's Guide; Review and registration of CDM projects; GEF RAF 4 allocation for Projects and programmes and start implementation of GEF RAF 4 activities; Vice President of the COP; First Chair of the AFB; Formulation of

Athari za mabadiliko ya tabianchi Athari za mabadiliko ya tabianchi ni pamoja na: kuongezeka kwa usawa wa bahari kutokana na kuyeyuka kwa barafu katika Bahari ya Arctic na Antactica; kuongezeka kwa matukio ya vimbunga; kupungua kwa kasi kubwa kwa kiwango cha theluji katika vilele vya milima; ukame wa mara kwa mara unaosababisha upungufu wa maji, chakula na nishati ya umeme; kuenea kwa magonjwa kama vile malaria katika maeneo ambayo haukuwa wa kawaida; na mmomonyoko wa ukanda wa bahari unaotishia uharibifu wa miundombinu iliyopo katika maeneo hayo Thursday, December 03, 2009 6

Muundo wa Kitaasisi wa Utekelezaji wa Sheria ya Manzingira Tanzania OMR (WN anayehusika na Mazingira ) Idara ya Mazingira(DOE) (Mkurugenzi wa Mazingira) NEMC (Mkurugenzi Mkuu Baraza la Ushauri la Mazingira Sekretariati za Mikoa (Regional Environmental Management Experts) Vitengo vya Mazingira vya kisekta (Sector Environment Coordinators) City council (City Council Env. Management Officer) City Env. Management Committee Municipality (Municipal Env. Management Officer) Municipal Env. Management Committee Town Council (Town Council Env. Management Officer) Town Council Env. Management Committee District Council (District Council Env. Management Officer) District Council Env. Management Committee Township/Ward (Township/ward Env. Management Ward Officer)Township/Ward de Env. (/ward Env. Management Management Committee Officer)Ward Env. Management Committee Village (Village Env. Management Officer) Village Env Management Committee Mitaa Thursday, (Mitaa December Env. Management 03, 2009 Officer) Mitaa Env. 7 Kitongoji (Kitongoji Env. Management Officer) Kitongoji Env. Management Committee Management Committee

Programu na shughuli mbalimbali Tathmini ya mahitaji ya kuhimili na tishio la mabadiliko ya tabianchi Tathmini kuhusu athari za mabadiliko ya tabianchi katika sekta za kilimo, afya na maji pamoja na jamii zimeefanyika Maandalizi ya NAPA yalianza Kamati za kitaifa kuhusu NAPA ziliundwa NAPA inabainisha maeneo ya kipaumbele na mahitaji ya fedha 8

Athari za mabadiliko ya tabianchi hapa Tanzania Kisiwa cha Maziwe katika pwani ya Pangani-Tanga na kisiwa cha Fungu la Nyani katika pwani ya Rufuji vimemezwa na havitumiki tena; ukuta unaozuia maji ya bahari kuingia katika mji wa Pangani sasa umezingirwa na mawimbi ambayo yanatishia kuuvunja; theluji ya mlima Kilimanjaro imepungua kwa zaidi ya asilimia themanini kwa kipindi cha takriban miaka 50 iliyopita; visima i vya maji baridi katika vijiji vilivyo kwenye mwambao wa Pwani ya Bagamoyo vimeingiliwa na maji chumvi; mfululizo wa majanga ya ukame na mafuriko yameongezeka; ugonjwa wa malaria sasa umeenea katika wilaya za Lushoto na Muheza-Amani (Tanga), Rungwe (Mbeya), Bukoba na Muleba (Kagera), Njombe na Mufindi (Iringa), nk Thursday, December 03, 2009 9

Mchanganuo wa mabadiliko ya joto kipindi cha miaka kumi Wastani wa jotoridi 1985-1994 Average temp. 1985-1994 10

Mchanganuo wa mabadiliko ya joto kipindi cha miaka ik kumi Average temp. 1995-2004 11

Mfano mabadiliko ya joto kwa vipindi mbalimbali KI LI MANJARO EXTREME MAXI MUM TEMPERATURE 39 38.5 38 37.5 37 36.5 36 35.5 35 34.5 34 1970 1975 1980 1985 1990 1995 2000 2005 2010 YEARS MAX TEMP Linear (MAX TEMP) 12

Programu na shughuli mbalimbali KUHIMILI MABADILIKO YA TABIANCHI Utekelezaji wa NAPA Kiasi cha USD 3.5 million kimeidhinishwa kwa ajili ya utekelezaji wa NAPA. Shughuli zitakazotekelezwa pamoja kukabiliana kuongezeka kwa kina cha bahari hususan katika maeneo ya Pangani, Bagamoyo and Rufiji. Mradi utatoa elimu na kukuza weledi pia Umoja wa Ulaya utatoa Euro 2.2 million kwa ajili ya utekelezaji wa vijiji jj vya mfano (Pilot Eco villages) )pamoja kituo cha kikanda/kitaifa katika mabadiliko ya tabianchi 13

Maeneo yaliyoathirikana mabadiliko ya tabianchi Thursday, December 03, 2009 14

Miradi ya Kuhimili mabadiliko ya tabianchi Mradi wa kujenga uwezo: DANIDA wamesaidia Tanzania kiasi cha USD 1.5 kwa ajili ya mafunzo, kukuza weledi; kununua vifaa kwa jili ya TMA, ushiriki katika mkutano wa Copenhagen Tathmini ya athari za mabadiliko ya tabianchi katika maeneo mbalimbali nchini. Kuandaa ripoti mbalimbali kwa ajili ya maonesho (Showcasing for Copenhagen) mfano (films, majarida, vitini, vijitabu na mikanda ya video. Shughuli hii inafadhiliwa na Serikali za UK ; Norway pamoja UNDP. Thursday, December 03, 2009 15

Miradi ya Kuhimili mabadiliko ya tabianchi Mfuko wa khumili Mabadiliko ya tabianchi -Adaptation Fund unakiasi cha fedha USD 1-10 million kwa ajili ya nchi zinazoendelea Mfuko huu uko chini usimamizi wa Bodi iliyoundwa ba Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi(32 Member board with legal capacity under the COP guidance) Nchi zinaweza kuomba fedha moja kwa moja bila kupitia wakala. Thursday, December 03, 2009 16

Miradi ya Kukubabiliana na mabadiliko ya tabianchi Tanzania Chini ya utaratibu mpya wa GEF RAF Tanzania ilitengewa USD 5.35 million kwa ajili ya miradi ya kukbalina na mabadiliko ya tbi tabianchi UNIDO wanaandaa mradi kwa kushirikiana na Wizara ya Nisdhati na Madini Benki ya Dunia/UNDP kwa kushirikiana na IRA -UDSM wameandaa mradi wa Miomboambao tayari umetekelzwa NORAD wametoa USD 100 million kwa ajili ya utekelezaji wa mpango wa REDD Makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa REDD yalisainiwa mwezi Aprili, 2008). Utekelezaji wa REDD umeanza tangu April,2009 VPO na MNRT wameunda kikosi kazi wajumbe wengine watatoka TAMISEMI na SMZ Thursday, December 03, 2009 17

Miradi ya Kukubabiliana na mabadiliko ya tabianchi Tanzania Miradi miwili ya CDM imeshapitishwa na kuandikishwa na Bodi ya CDM Miradi mingine zaidi ya kumi iko katika hatua nzuri ya kuweza kupitishwa na kuandikishwa Thursday, December 03, 2009 18

MAJADILIANO YA MABADILIKO YA TABIANCHI KUELEKEA COPENHAGEN Mchakato wa majadiliano kuhusu ulianza mwaka 2005 katika mkutano wa 11 uliofanyika Montreal, Canada, ambapo Kamati chini ya Mkataba ilianzishwa kwa ajili ya kutathmini viwango vya kupunguza gesijoto kwa nchi zilizoendelea katika awamu ya pili ya utekelezaji wa mktaba wa Kyoto. Aidha katika mkutano wa Bali uliofanyika mwaka 2007, azimio la kuanzisha mchakato wa majadiliano ya miaka miwili (Bali Roadmap) ililipitishwa. Lengo ni kundaa mfumo mpya utakaoshughulikia tatizo la mabadiliko ya tabianchi baada ya kumalizika kwa Mkataba wa Kyoto Mwaka 2012. Thursday, December 03, 2009 19

MAJADILIANO YA MABADILIKO YA TABIANCHI KUELEKEA COPENHAGEN Mfumo mpya wa mabadiliko ya tabianchi utashirikisha Marekani (ambayo si mwanachama wa Mkataba wa Kyoto) pamoja na nchi zinazoendelea zenye uchumi unaokua kwa kasi katika kupunguza gesijoto ili kukabili mabadiliko ya tabianchi. Dhumuni kubwa ni kuhakikisha kuwa kila nchi inachangia katika juhudi za dunia katika upunguzaji wa uzalishaji wa gesijoto. Mambo muhimu yaliyomo katika Bali Road map ni:- Umuhimu wa kupunguza uzalishaji wa gesi joto kati ya 25% - 40% chini ya viwango vilivyokuwa vikizalishwa Thursday, December 03, 2009 20 mwaka 1990 ifikapo mwaka 2020, na kati ya 85% 95%

MAJADILIANO YA MABADILIKO YA TABIANCHI KUELEKEA COPENHAGEN Haja ya kuzidisha ushirikiano wa kimataifa hususan kwa kushirikisha nchi zisizo wanachama wa Kyoto na zile zinazoendelea hasa zenye viwanda na uchumi unaokuwa haraka kama vile China, Brazili, India na Afrika Kusini katika kupunguza uzalishaji wa gesijoto Kuweko kwa utaratibu na mfumo unaoleweka wa kusaidia nchi zinazoendelea, hasa nchi maskini zinazoathirika na mabadiliko ya tabianchi. Kuweka mfumo wa kusimamia i utoaji wa fdh fedha, tk teknolojia lji pamoja na kujenga uwezo wa nchi zinazoendelea ili kukabili k mabadiliko ya tabianchi. Thursday, December 03, 2009 21

MAJADILIANO YA MABADILIKO YA TABIANCHI KUELEKEA COPENHAGEN Kuanzisha mpango wa kutumia misitu katika kupunguza gesijoto (REDD) kwa kunyonya gesijoto ili uwe sehemu ya makubaliano ya Copenhagen Mpaka sasa vikao tisa chini ya majadiliano ya Mkataba mdogo wa Kyoto na vikao saba chini ya Mkataba wa Mabadiliko ya tabianchi vimeshafanyika. Tanzania imepewa majukumu mbalimbali katika majadiliano hayo:- Msemaji wa masuala ya Kujenga uwezo kwa Niaba ya kundi la G77 na China na Afrika Msemamaji wa masula ya Adaptation ti kwa niaba ya Afrika Msemaji wa masula ya REDD kwa niaba ya nchi maskini Thursday, December 03, 2009 22

MAJADILIANO YA MABADILIKO YA TABIANCHI KUELEKEA COPENHAGEN Makamu Rais na mjumbe wa Bureau ikiwakilisha Afrika; Mwenyekiti mwenza wa kamati ya kujadili athari za hatua zinazochukuliwa na Nchi zinazoendelea kukabili mabadiliko ya tabianchi Thursday, December 03, 2009 23

CHANGAMOTO Upungufu wa rasilimali fedha, vifaa na watu katika juhudi la kukabiliana na mabadiliko Ukosefu wa weledi kwa wananchi wengi kuhusu mabadiliko ya tabianchi Ukosefu wa takwimu sahihi wakati wa kuandaa mipango na miradi inayohusu mabadiliko yatabianchi Kutokuaminiana miongoni mwa nchi zilizoendelea na zinazoendelea katika majadiliano Ukosefu wa dhamira ya dhati kwa nchi zilizoendelea katika kusaidia nchi zinazoendelea Thursday, December 03, 2009 24

CHANGAMOTO Suala la teknolojia ni miongoni mwa masuala tete katika majadiliano Tatizo la uwazi katika utekelzaji wa miradi ya CDM hususan kwa makampuni mengi ya kigeni Umiliki wa ardhi kubwa hususan katika miradi mengi ya upandaji miti inayofanywa na makampuni ya kigeni Ukosefu wa wataalamu na fedha kwa ajili ya kuandaa miradi ya CDM Thursday, December 03, 2009 25

Hitimisho Mwelekeo ni kuwa itakuwa ni vigumu kukuabaliana katika maeneo mengi katika mkutano wa Copenhagen Uwezekano mkubwa ni kuwepo kwa makubaliano ya pamoja katika ngazi ya viongozi wa juu ili kuwezesha utekelezaji wa masuala ya mabadiliko ya tabianchi kuendelea Bara la Afrika na nchi zinazoendelea zimekuwa na mwamko mkubwa kuhusu suala la mabadiliko ya tabianchi kutoka k na athari na changamaoto zinazowakabili katika ngazi mbalimbali b Kuna haja ya kuweka utaratibu wa kitaifa kuhakikisha kuwa miradi ya upandaji miti na inayohusu matumizi ya misitu Thursday, December 03, 2009 26 inatekelezwa na wananchi wenyewe au serikali

Asanteni Sana Thursday, December 03, 2009 27