MAMLAKA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI (VETA) TANGAZO LA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI DARAJA LA TATU (LEVEL III) VETA INAPENDA KUWATANGAZIA WATANZANIA WOTE KUWA MAFUNZO KWA DARAJA LA TATU YATAANZA KUTOLEWA MWEZI JULAI, 2018 KATIKA VYUO VYA VETA VILIVYOAMBATANISHWA. SIFA ZA KUJIUNGA, MWOMBAJI LAZIMA AWE: AMEMALIZA KIDATO CHA NNE NA CHETI CHA KUMALIZA DARAJA LA PILI NA KUPATA VOCATIONAL CERTIFICATE II (VC II) MWOMBAJI ANAPASWA KUANDIKA BARUA KWENDA KWENYE CHUO ALICHOCHAGUA AKIAMBATANISHA NAKALA YA VIELELEZO VILIVYOTAJWA. WASICHANA WANAHIMIZWA KUOMBA. MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NI TAREHE 20 JUNI, 2018. KWA MAWASILIANO ZAIDI: MKURUGENZI MKUU VETA MAKAO MAKUU S. L. P 2849 DAR ES SALAAM EMAIL: info@veta.go.tz Tovuti: www.veta.go.tz 1
FANI ZA DARAJA LA TATU ZITAKAZOTOLEWA KATIKA VYUO VYA VETA KUANZIA JULAI MWAKA 2018 NA MKOA JINA LA CHUO ANUANI MAHALI FANI 1. PWANI Pwani RVTSC (Bweni na S.L.P. 30345, Kibaha Kongowe AE, MVM,RAC,EL,LA 2. DODOMA Dodoma RVTCS (Bweni na S.L.P 2197 Dodoma Karibu na CBE na Jengo la MB, CJ, RCM, CD Bunge 3. SINGIDA Singida VTC (Bweni na S.L.P. 733, Singida Karibu na Ikulu ndogo ya Singida EI, CJ, MB, PPF and WF 4. DSM DSM RVTSC ( S.L.P 40274 DSM Barabara Chang ombe karibu na Keko CD, EL, FM, CJ 5. DSM Kipawa ICT ( S.L.P. 40040, DSM Kipawa ELEC, ICT, EL 6. KIGOMA Kigoma RVTSC (Bweni na 7. SHINYANGA Shinyanga VTC (Bweni na 8. TABORA Tabora RVTSC (Bweni na S.L.P 1068 Kigoma Kigoma Mjini MVM, AE,EL, ELEC, WF S.L.P. 470, Shinyanga Shinyanga MB, DSCT,EL,WF S.L.P. 2060, Tabora Mtaa wa Shule Tabora Mjini ABR, EL, WF, CJ, MB 9. KAGERA Kagera VTC ( S.L.P. 906, Bukoba Rwamishenyi MB, EL, MVM 10. MARA Mara VTC ( S.L.P. 188, Musoma Musoma Mjini MVM, EL and MB 11. MWANZA Mwanza RVTSC (Bweni na S.L.P 1983 Mwanza MWATEX EL, MVM, CJ 12. KATAVI Mpanda VTC (Bweni na S.L.P 190 Mpanda Eneo la shamwe, barabara ya Kasokola AGR, SC, EL 13. LINDI Lindi RVTSC (Bweni na kutwa) S.L.P. 1001, Lindi Mitwero EL, MB, WF, MVM, 2
14. TANGA Tanga RVTSC (Bweni na S.L.P 1204 Tanga Tanga Mjini EL, MB, AE, MVM 15. KILIMANJAR O Moshi RVTSC (Bweni na S.L.P 1738 Moshi Market street, karibu na SIDO estate/old airport CD, TDM, ELEC, PFBM, RAC, FM 16. IRINGA Iringa RVTSC (Bweni na S.L.P 778 Iringa Iringa Mjini karibu na uwanja wa Samora MB, MV, EL, 17. RUVUMA Songea VTC ( S.L.P 902 Songea Songea Mjini Barabara ya WF, MVM, EL Njombe - DSM 18. Mikumi VTC Mikumi VTC (Bweni na S.L.P. 110 Mikumi Mikumi CJ, EL, FM and MB 19. Mbeya RVTSC Mbeya RVTSC ( S.L.P 1020 Mbeya Soweto EL, MVM,MB,DSCT,WF and FM 20. KATAVI Mpanda VTC (Bweni na S.L.P 190 Mpanda Mpanda mjini-kuelekea Shanwe EL, AGM, MB, 21. ARUSHA Arusha VTC (Bweni na S.L.P 509 Arusha Eneo la Oljoro karibu na JKT EL, WF 22. Manyara Manyara RVTSC (Bweni na S.L.P. 485, Manyara Manyara ELEC 23. Mtwara Mtwara RVTSC (Bweni na S.L.P 58, Mtwara Shangani PS, MVM, WF, PPF, MB, CJ, AE, EL 24. Morogoro Kihonda RVTSC (Bweni na S.L.P. 2208, Morogoro Kihonda AE, RAC, EL, FM, MVM, MB, DSCT, CJ, DEM 3
UFAFANUZI WA FANI KWA KIREFU. Na. Fani Na. Fani Na. Fani 1 AGM Agro Mechanics 16 GF Ginnery Fitting 31 PL Plumbing & Pipe fitting 2 RAC Refrigeration and Air Conditioning 17 HW Handloom Weaving 32 PT Printing 3 AMR Armature and Motor Rewinding 18. HDEM Heavy Duty Electrical Mechanics 33 RM Road Maintenance 4 ABR Auto Body Repair 19 ICT Information and Communication Technology 34 SC Secretarial and Computer 5 AE Auto Electric 20 IM Instrument Mechanics 35 DSCT Design Sewing and Clothing Technology 6 CJ Carpentry and Joinery 21 IE Industrial Electronics 36 TEL Telecommunication 7 CD Civil Draughting 22 LA Laboratory Assistant 37 TDM Tool and Die Making 8 FP Food Production 23 MTR Machine Tool Repair 38 WF Welding & Fabrication 9 DEM Diesel Engine Mechanics 24 MF Machinery Fitter 39 PM Pattern Making 10 EI Electrical Installation 25 MB Masonry and Bricklaying 40 BMP Boiler Mechanics and Pipefitting 11 ELEC Electronics 26 MPT Meat Processing Technology 41 LG Leather Goods and Shoes Making 12 FM Fitter Mechanics 27 MVM/TM Motor Vehicle Mechanics (Truck Mechanics 42 CC Commerce and Computer 13 FBSS Food and Beverage Services and Sales 28 OMM Office Machine Mechanics 43 PO Plant Operator 14 FOO Front Office Operations 29 PS Painting and Sign writing 44 AH Animal Husbandry 4
15 HK House Keeping 30 TG Tour Guide 45 GCPC Germ Stone Cutting, Polishing and Curving 5